sungura mweusi
Member
- Mar 6, 2018
- 57
- 65
Popo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo chacha? [emoji101] [emoji101]
mmh!! [emoji20][emoji20][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Braza unataka uwe na wote wawili
Ehehehee
Hakunaaaa
Kama wewe tuPopo
Shemeji yangu kwa nani? Mzigua au mumu? Unanichanganyamimi ni shemeji yako Thad [emoji4]
Ndio bas tena! Brommh!! [emoji20][emoji20]
Mbona wampangia wa kuwa naye? Una ajenda gani na huyo mumu?1. Miller hayuko na mumu ana baki na mzigua
2 mimi inaeleweka
Wengine waje wajibu wenyewe
Karibu popo mwenzetuPopo
Hahaha upo mdauKama wewe tu
Nikisema utakuja?Kwako wapi?
Wewe unataka uwe shemeji yangu kwa nani Thad?Shemeji yangu kwa nani? Mzigua au mumu? Unanichanganya
Niko standby ukinitajia tu ulipo nakuja fastaNikisema utakuja?
Miller yupo mumu1. Miller hayuko na mumu ana baki na mzigua
2 mimi inaeleweka
Wengine waje wajibu wenyewe
Kwa mzigua huyoShemeji yangu kwa nani? Mzigua au mumu? Unanichanganya
bora unisaidie kuhoji shemeji yangu...3D mm simuelewii [emoji20] ni braza wangu lkn mmh!Mbona wampangia wa kuwa naye? Una ajenda gani na huyo mumu?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona wampangia wa kuwa naye? Una ajenda gani na huyo mumu?
Haiwezekani uwe na wote wawili wakati kuna wenzio humu ndani kama ipogolo, mgunga pori, Samaritan, Mwifwa, Nleterewa Nganengo, No Escape n.k hawana hata mmoja. Chagua mmoja tuWewe unataka uwe shemeji yangu kwa nani Thad?
*both [emoji6]
Hamna brazaMiller yupo mumu
mumuHaiwezekani uwe na wote wawili wakati kuna wenzio humu ndani kama ipogolo, mgunga pori, Samaritan, Mwifwa, Nleterewa Nganengo, No Escape n.k hawana hata mmoja. Chagua mmoja tu