Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,110
HahahaHahahahahahaha wako bize na shughuli pevuu
Ukute wako ckub
HahahaHahahahahahaha wako bize na shughuli pevuu
Brother utawasalimia popo na bundi woteMsitake kuniambia hadi ijumaa mko busy
Au uko na mamah apoNimefululiza Sana kuwa macho mida mibovu Leo acha niwahi
Mh lamda wanapiga ulabuHahaha
Ukute wako ckub
Poa kakaBrother utawasalimia popo na bundi wote
Hahahaha hapana kila jambo na wakati wake. Wakati haujafika.Au uko na mamah apo
Mh mh mkuuHahahaha hapana kila jambo na wakati wake. Wakati haujafika.
Siungejichanganya na ww mkuEeh
Au kibo complex au maisha
Etc
Ni zaidi ya clubHahaha
Ukute wako ckub
mumu wangu umemuacha wapi? dada Maserati? mwalimu Neybright?Hahaha
Ukute wako ckub
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni zaidi ya club
Tupo kibabaWazee mpo?team mapopo
Msalimie Ney pia, ila hili la mumu naomba tuliache aje mwenyewe
Mumu naye ntamsalimia usjali[emoji1]Msalimie Ney pia, ila hili la mumu naomba tuliache aje mwenyewe
Subiri kwanza, kuna neno zuri nataka nikunong'onezeNimefululiza Sana kuwa macho mida mibovu Leo acha niwahi
sawa mwambie akija anitafuteMumu naye ntamsalimia usjali[emoji1]
Kwani wewe huoni hizi mvua zinazoendelea kunyesha nchini? Tuko busy tunapanda...tutavuna baada ya miezi 9 [emoji12] [emoji12] [emoji12]Msitake kuniambia hadi ijumaa mko busy