Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Sisi hatuachani kabisaHapo je?[emoji13]
Sisi hatuachani kabisaHapo je?[emoji13]
Baby kuna watu et wanangoja nikuache haahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika,namuona.[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mgonjwa mzima kuliko hata muuguzi [emoji28][emoji28][emoji28]
Huoni fujo zake, kila mtaa aingia kufanya vurugu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji20][emoji20][emoji20]
Jamani jamani jamaniii. Uwiiiiih. Jamani kuna nini huku murembo batoto bazuri banalia huku[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mm tena!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji15][emoji15][emoji15]
????????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Braza halafu Ney ntampeleka wap?, kwanza nlikuwa nawaza hata akiona ntajielezaje!.
Kwa hiyo kule ndio kwa bi mkubwa eeh?
Sawa kaka mkubwa silii tenaaa,nanyamaza mm[emoji4]Ntakucheki mchana, sipendi ulie bhana
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] boraNi kazi ndogo, mwalimu aanze kugawa ubuyu kila siku, watoro watahudhuria[emoji23]
Kaka ulevi wangu naujua, nikipenda hupitiliza, ni mbaya nikikosea maana ntateseka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza miss natafuta yule yuko vzuri komaa naye hadi ajiite Miss nimepata
Ahsantehahaha pole
Now thats you i knowKama ulivyosema,nimetii maneno yakoo[emoji5]
[emoji57] unajifanya huelewi???Mm tena!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji15][emoji15][emoji15]
We shem baba chanja yuko wap?Venye u turn on the engine to mafinga,I am already dead na lile baridi b4 mengine
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni kazi ndogo, mwalimu aanze kugawa ubuyu kila siku, watoro watahudhuria[emoji23]
adhabu gani hizo tuambizane mapema tafadhali[emoji3] [emoji3]
Mwanafunzi wa kiume huwa hachapwi viboko, kuna adhabu mbalimbali za kuvutia na nzuri, bakora ni kwa ajili ya watoto wa kike tu komredi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mgonjwa mzima kuliko hata muuguzi [emoji28][emoji28][emoji28]
Huoni fujo zake, kila mtaa aingia kufanya vurugu
Unaelewa vema bembelezo langu, laifu letu ni la ki west.. zaidi, kaka dada kuhug tight na mi kiss juu[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Sawa kaka mkubwa silii tenaaa,nanyamaza mm[emoji4]
Mbona sijaelewa huu mtiririko wenu japo najitahidi kuwafatilia, bwana wewe embu niambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Braza halafu Ney ntampeleka wap?, kwanza nlikuwa nawaza hata akiona ntajielezaje!.
Kwa hiyo kule ndio kwa bi mkubwa eeh?