Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,304
Daah mkuu, hilo huwa silifahamu, nashukuru, ntaanza kujitathmini boss.Mzima ndugu yangu mambo yako huwa yana hekima sana nakukubaki mzee.
Endelea kuchapa kazi [emoji1]
Pande za huko wazima?