sungura mweusi
Member
- Mar 6, 2018
- 57
- 65
[emoji40]
Hahahaha
Sawaa tuu
Unachagua wa kuwaotaa
Endelea kuniota kunaweza kuwa na chemistry ya tofauti kwenye uhusika[emoji6]
HahahahWallah vile sikuoti hata [emoji1439]
Hahahabundi waog
Hahahah
Si mbaya
Fanya hivyo kwa kweliUnani convince nijaribu tena. [emoji28][emoji28][emoji28]
Fanya hivyo kwa kweli
Haya Ila hakikisha Mimi na wewe ndio wahusika wakuu kwenye hiyo ndoto[emoji39]Lala basi na wewe ili nikishtuka tena nipindue shuka na godoro kisha ndoto iendelee na huko kwako [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeelewa eh![emoji12]
Haya Ila hakikisha Mimi na wewe ndio wahusika wakuu kwenye hiyo ndoto[emoji39]
Hilo no mbili maana no moja ulitoa wewe LA Mimi nilale[emoji6][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sharti namba moja
Lala unono bibieBye popooz nafunga mlango wangu sasa
Pole sana ha ha haaaaJamani man u tunafungwa hukooo
Poleni ha ha haaaPopo
Usingizi umekuja au nije kukubembeleza ha ha haaaMi nalala tu hapa. Maumivu yamezidi,no doct anywhere.
Haina haja ya pole hao wanateam mbovuPole sana ha ha haaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawajua vizuri mafather Wa Europa.
Super sub Ben Yedder 9 amenikosha sana
Daah! Ahsante mkuuPole sana ha ha haaaa
Ohoooo mbona juzi tu mlikua mnafurahii kubali matokeo ha ha haaaMy God! This is painful man
Aaaagh!