Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
KwaheriniYaan ni bora tunge fungwa jumapili mweeh!
KwaheriniYaan ni bora tunge fungwa jumapili mweeh!
Lindo linaanza bossHuu uzi mda huu umepoaaaaa..
Watu sijui ndo wamelala![]()
Hahahahaha shukuruni maana robo mngetia aibu zaidi. Mambo Leo safi sanaYaan ni bora tunge fungwa jumapili mweeh!
Unawajua vizuri mafather Wa Europa.Shemeji maumivu.. Sevilla etiiiii![]()
![]()
![]()
![]()
Wapi hiyo mkuunapita wakuu
Sawa mkuuJana na leo nimekuja kuitika tu afu nalala ntahusika kwenye kufunga leo sabb ratiba ya leo napewa
BundiPopo
Wela wela wela blazaDaaah!
Team mbovu mlitaka muende wapiWameniboa kishenzi..
Hasa likocha lile
Daaaah!Hahahahaha shukuruni maana robo mngetia aibu zaidi. Mambo Leo safi sana







NiacheeeWela wela wela blaza
Ulikuwa unioti kweli Mimi?Nimeota ndoto kubwa sana huyu Kichwa Kichafu amepiga kelele hadi imepotea ndoto yangu![]()

Uliona Ben Yedder alivyokosa goal LA wazi baada ya kumlenga mguu De geaDaaaah!
Braza yaan kwa kweli hii timu imeniangusha braza
Ulikuwa unioti kweli Mimi?
Ni furaha tu maana Leo mpira ulikuwa mzuri Sana hadi nimekushtua![]()





