Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
HahahahahOhoooo mbona juzi tu mlikua mnafurahii kubali matokeo ha ha haaa
HahahahahOhoooo mbona juzi tu mlikua mnafurahii kubali matokeo ha ha haaa
Hivi hii ni kweli au ni ile misemo ya wahenga?Lala basi na wewe ili nikishtuka tena nipindue shuka na godoro kisha ndoto iendelee na huko kwako![]()
Umeelewa eh!![]()
Hafu shem kakusalimia akapita sijui kama umemjibu?Daah! Ahsante mkuu
Hajaona Ana muona Ben Yedder tu hapoHafu shem kakusalimia akapita sijui kama umemjibu?
Tumewasiliana naye kakaHafu shem kakusalimia akapita sijui kama umemjibu?
Punguza speed mama
Ahaa sawaTumewasiliana naye kaka
Nipo hapaHuu uzi mda huu umepoaaaaa..
Watu sijui ndo wamelala![]()
Pamoja manI'm very busy this time, nitarudi kuangalia usalama na kufunga geti