JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkubwa, hii sentensi inahusisha ule uzi uliopaishwa kwamba unamilikiwa watu wakae chonjo na wewe au ile siredi tunaiweka chemba?
Kule skuitwa baby wala sku muita baby, tulisha limaliza lile

Na uzi haukufunguliwa wakat Ney ana umwa.
Hivi braza haya wewe utaniheshim vipi kuona mpenzi wangu ana muita mtu baby while am sick at the hospital. Yet narud namchekea!
Utaniona wa ajabu braza
 
Kaa mbali na mwanaume aliyekamatika au akiharibu, akiitoa hiyo sauti kukuita Baby mwenyewe unajisogeza huku unafyonza na kunung'unika chinichini ila ushakolea grisi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ujue unanichekesha sana jamani
 
Shost huyo jamaa ni tapeli na muongo kama unavyomuona kwenye avatar yake....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tapeli anapokutana na tapeli mwenzie imebidi aombe arudi Kesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe mwizi,nisie julikana
 
Baby nisamehe nikuambie kitu kizuri na kikubwa nilichokigundua kutoka kwako leo,
Embu punguza hasira tuongee mpenzi wangu,
You know how much I love you iceman usihadaike na vitu vidogo vidogo kama hivyo, kwanza wala haikuwa serious mpenzi wangu jamani.
Hapana
Fikiria mi ninge kufanyia wewe hivo.
Yaan mimi nnavo kupenda najua kuna kutiana tiana wivu
Ila ya jana ilivuka mipaka.
Ngoja ninywe dawa hapa ntarud
 
Back
Top Bottom