JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Noo!
Yeah
Ina mi huwa nafanya makosa but sjawahi muita mtu baby mbele yako wala sjawahi bebika ukiwa unaumwa.
This is too much
Naaah naaa!
Baby nisamehe nikuambie kitu kizuri na kikubwa nilichokigundua kutoka kwako leo,
Embu punguza hasira tuongee mpenzi wangu,
You know how much I love you iceman usihadaike na vitu vidogo vidogo kama hivyo, kwanza wala haikuwa serious mpenzi wangu jamani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka nimecheka kwa nguvu. Vile unaishiwa nguvu unajaribu kuita kwa sauti ya chiniii "baby"


Kaa mbali na mwanaume aliyekamatika au akiharibu, akiitoa hiyo sauti kukuita Baby mwenyewe unajisogeza huku unafyonza na kunung'unika chinichini ila ushakolea grisi...
 
Back
Top Bottom