kamla
Senior Member
- May 16, 2017
- 169
- 106
nipo tuHahaha ulikuwa unaenda wapi
nipo tuHahaha ulikuwa unaenda wapi
Nataka nilale ila nashindwakalale
Ndio Ulikuwa umeamkanipo tu
Usingizi sinaBasi muda wa kupumzika ndio huu
Baba mdogo ake chanja tupo wengi aiseeeNataka nilale ila nashindwa
Hivi nime mkosea nani leo hii mimi?
Mpaka nataka nikumbuke nilimkera nani!Baba mdogo ake chanja tupo wengi aiseee
Ngoja nijaribu kuizima simu halafu nilale,I am sure nitalala muda si mrefu. Siishiki tena ng'oooo mpaka keshoMpaka nataka nikumbuke nilimkera nani!
Maana macho yana kataa kufumba
Ngoja nijaribu kuizima simu halafu nilale,I am sure nitalala muda si mrefu. Siishiki tena ng'oooo mpaka kesho
Watoboaji tutawakuta keshoHahaha mkuu tunatoboa#
Hahaha ila ukosefu wa usingizi ni ugonjwa piaWatoboaji tutawakuta kesho
Hahahahahah.Hahaha ila ukosefu wa usingizi ni ugonjwa pia
HahahahahKamanda naona bundle la usingizi tulisahau kujiunga