JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tuseme Jana Tuliokukaribishaia tulifanya kazi bure sio
Sawa tu shem
Good God!
Dont do that to me again!!
I missed you my girl! Mbona nimeambiwa mondray alikuwa emeleta taarifa hapa na nkimuagiza azifikishe.
Yaan now i feel am back!
 
Niambie chochote niridhike, unajua nimelia kiasi gani mtaa wa pili?
Nimeumia sana iceman wangu
But you know skuwa na namna pale i had to go with the music.
I wished the first thing you saw was my msgz yesterday.
You are my girl and i love you
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inauma kweli ukimham kipenzi chako hafu ukute wanamgombania.

Hafu anawachoropoka wote anakuja kwako tena pembeeeni kabisa ana kuhug raha zake zipoje?
Ahahahaaaaaa Manga banah, unajua kunifurahisha venyee ninavyompenda kijana wangu [emoji6]
 
Back
Top Bottom