Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
Acha tuu nilale Manga najuta kutoka nje leo.Unatuachaje tena usitufanyie hivyo bhanaa
Acha tuu nilale Manga najuta kutoka nje leo.Unatuachaje tena usitufanyie hivyo bhanaa
Uchovu au kuumwa? Pole aseeLeo siko vizuri Chief![]()
Wewe sio wa kuutesa moyo wangu kiasi hicho icemanNey wangu
I missed you
PoleeeeeManga banah embu acha tuu hasira zangu zipungue ujue najiskia kulia kwa sautipo
![]()
Ney my girlAcha tuu nilale Manga najuta kutoka nje leo.
AhahahaaaaaaNajua furaha ulionayo apo hakuna kifaacho ha ha haaa tu zoom tu
Manga banah embu acha tuu hasira zangu zipungue ujue najiskia kulia kwa sauti![]()
Tuongozane au unamsubira jje's?Wapitaji![]()
![]()
![]()
Nashukuru japo amekuwa mtu wa macho kodo anapotea. Acha nitangulie honeyBby Inna anakusalimu
Shouldnt we just be happy tumeonana tena?Wewe sio wa kuutesa moyo wangu kiasi hicho iceman
Nipo hapa baba chanja. Vipi utakunywa nini sasa hivi kipenzi?
Yaan napata shda sana kujib msgzKupata sasa cjui hats ni PaGE gani uko
Sikawii sana naja pia mpnz kwangu mie

Leo ninavotafutwa. Nipo hapa nimefikaMaserati
Vizuri mmefurahi ujio wako karibu sana.Nipo hapa baba chanja. Vipi utakunywa nini sasa hivi kipenzi?
Tuelekee maana kwa hasira ulizonazo usije kupoteaTuongozane au unamsubira jje's?
Hivi umemuona kioenzi changu?Ney my girl
Usiende kulalaaa!