Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
Nipo tayar mamy nambie tuNashukuru kwa kuitika wito...
Kuna mzigo wangu nataka nikuagize unipelekee mahali fulani
Nipo tayar mamy nambie tuNashukuru kwa kuitika wito...
Kuna mzigo wangu nataka nikuagize unipelekee mahali fulani
Dah ni kweli,ngoja kwanza nigonge,vipi nikutembezee ,mwenge hauruki kijijiLakini kumbuka kuwa za kuambiwa inabidi uchanganye na zako....
Tuliza munkari mamy, sijakuitia kesi bali nina jambo la heri na weweNimekuja kwa mwendo kasi moyo unadunda
Nashukuru kiongozi, nimesimama kwa mudaDah ni kweli,ngoja kwanza nigonge,vipi nikutembezee ,mwenge hauruki kijiji
jilipue tu onyinye![]()
Demiss ndan ya lindooo
Chukua hii barua unisaidie kumpelekea mhusika, ila chondechonde usiisome kama alivyonifanyia jje's kisha akaichana [emoji181]Nipo tayar mamy nambie tu
Mawazoooojilipue tu onyinye
Nimpelekee nan niambie kule chembaaaChukua hii barua unisaidie kumpelekea mhusika, ila chondechonde usiisome kama alivyonifanyia jje's kisha akaichana [emoji181]
ShikamoooDah ni kweli,ngoja kwanza nigonge,vipi nikutembezee ,mwenge hauruki kijiji
Eti enhee.....njoo sirini basii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huku uani waache akina thadMawazoooo
Soma hapo juu kwenye bahasha,nimeandika jina la mwandikiwa.[emoji4] [emoji4] [emoji4]Nimpelekee nan niambie kule chembaaa
Unawaza nini shost?Mawazoooo
Wee mbona waniletea majanga? Yaani kumwita nimwite mimi halafu wewe umchukue kirahis tu hivo?Eti enhee.....njoo sirini basii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huku uani waache akina thad
Unanichokoza eeehEti enhee.....njoo sirini basii[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huku uani waache akina thad
Umeandika ulimpa jjs akaichana haijafika kwa muhusikaSoma hapo juu kwenye bahasha,nimeandika jina la mwandikiwa.[emoji4] [emoji4] [emoji4]
like charges "REPEALS" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wee mbona waniletea majanga? Yaani kumwita nimwite mimi halafu wewe umchukue kirahis tu hivo?
ndio nakuchokoza cha mdeko wangu [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Unanichokoza eeeh
Ndio, ila hiyo nimemwandika mwingine, sio niliyekuwa nimemwandikia mwanzoUmeandika ulimpa jjs akaichana haijafika kwa muhusika