Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Endelea kusubiria subiria kidogo mpaka saa 9.00wewe ndio unanifanya niendelee kuwepo hapa..
nakusubiria.
Endelea kusubiria subiria kidogo mpaka saa 9.00wewe ndio unanifanya niendelee kuwepo hapa..
nakusubiria.
Thad ni inbox mwaya wangu!Hapana kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mgema akisifiwa....tembo hulitia majiWajanja wameniharibia, nikidekoreti inatoa maandishi ya vibwengo, nahisi nikiendelea dear wangu ataumia!
hahahaha mbona jana hukufika muda huo?Endelea kusubiria subiria kidogo mpaka saa 9.00
Hayupo kaniambia nije kumsaidia kutoa uzuru[emoji40] [emoji125] [emoji125]Nleterewa Nganengo popote ulipo njoo,kuna kesi yako hapa.
No Escape plz ninaombi kwako
Mmmh! Namuogopa MaseratiThad ni inbox mwaya wangu!
Maserati wangu jamaniiii! Sitaki hata awaze tu kuharibiwa na hivyo vikatuni![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mgema akisifiwa....tembo hulitia maji
Vp, [emoji12] [emoji12] [emoji12] Panya wako washatulia huko?Laleni jama
Nmeona nikishindana nao ntakuwa paka.. Nmewaacha wajidaiVp, [emoji12] [emoji12] [emoji12] Panya wako washatulia huko?
[emoji102]Mmmh! Namuogopa Maserati
Avatar yako inasadifu usingizi ulionao sasa[emoji42][emoji42][emoji42]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Vp, [emoji12] [emoji12] [emoji12] Panya wako washatulia huko?
Yaani kila ukiwazungumzia hao panya wako mi hoi kwa cheko [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nmeona nikishindana nao ntakuwa paka.. Nmewaacha wajidai
Hahahah.. Adi nkawafungulia uzi spesho ujue ni hatari..Yaani kila ukiwazungumzia hao panya wako mi hoi kwa cheko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Barua yangu niliyomtuma mshiki wako ilikufikia?Hayupo kaniambia nije kumsaidia kutoa uzuru[emoji40] [emoji125] [emoji125]
Nilikuwa naogopa,wanaume hamkuwepohahahaha mbona jana hukufika muda huo?
Wanacheka au wanakucheka?Wana tabia ikifika usiku unaskia wanacheka