JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Watu hawa nawahitaj nina kesi na nyie Thad na huyu babu kizee Ushimen mje niwaweke kat

Nimekuja na mwendo wa skonkinko
f5c5b2a54fdbcacc470184065aa53a44.jpg
Skonkinko pweza
 
Anasema alvyokwambia imetoka kwangu ulimfukuza kwamba asikuingilie....
Huo ndio msingi wa kesi, .... why?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Umesemaah, hebu ngoja niongee nae kiundugu anieleze vizuri. Labda aliogopa kukwambia imechanwa[emoji40]
Hebu nidokeze basi kidogo yaliyokuamo, usikute unataka kunichonganisha na mshiki wangu[emoji41]
 
Naona mtu nashiki wake mnataka kunizunguka....sasa nasema hivi, mnirudishie barua yangu, nimpe mtu mwingine
 
Back
Top Bottom