Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,251
- 90,445
Halafu ninazo hizo hapangoja nimalize kupuliza kwanza
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Halafu ninazo hizo hapangoja nimalize kupuliza kwanza
Muoga kweliMtu chake muoga.![]()
![]()
kasikia Amarula kajua shughuli IPO. Chezea TANGA.
Aiseee huyo sio muoaji wa haraka bado anakula ujana nataka nimpe talaka hatakiGuDume anasubiri nn ss!
hatari sana hiyo mkuu......Duuuh,hhahahaha hii noma sana unaeza meza makaa ya moto atii,..
AiseeeeeeeMie mwenyewe nakutaka
Wala hujakoseahahahaha iyo inaitwa mbuzi kafia kwa muuza thupu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Naomba tafasaliiiii
haya kila la kheriAiseee huyo sio muoaji wa haraka bado anakula ujana nataka nimpe talaka hataki


Nipo home. Uje na vitendea kazi vyote lakini
demiss matei vipi bado pamechangamka? nilipita mwaka juzi palikua pamewaka.......fireWala hujakosea
Mfatane ssGudume Dar mm Dodoma kazi kweli kweli
![]()
Night NightBarid limenishinda wacha nilale tu

Mh wewe unafaaa kuwa mshenga maana mahaba yetu huwa yamekukalia kooniMfatane ss
mtu chake mzigua huyo kazi kwako

Mm nalalaukuje sasa nikunywe thupu![]()
![]()
![]()
Njoo na nareNaomba tafasaliiiii