Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Mm nilizan ni mm peke yangu barid duh mateso hayaaisee hiki kibaridi mbona cha kichokozi ivi usingizi hauji kabisa![]()
Mm nilizan ni mm peke yangu barid duh mateso hayaaisee hiki kibaridi mbona cha kichokozi ivi usingizi hauji kabisa![]()
Hatari tupuHii kitu km London ,week hii wanacheza na snow tu
kwa bashite 'ZERO BRAIN'Pande zipi?
Urudi nyumban haraka ukimaliza kulima hilo shamba lako ukamkumbatie mama anguMie nimkumbatie nani?Niko na mpz konyagi hapa ,naoka moto kijijini lindo linaendelea
ndo unatumia huo moshi kupata joto DemissKuna barid msaada tafadhali![]()

Hahahaha, wewe banaUrudi nyumban harakanukimaloza kulima hilo shamba lako ukamkumbatie mama angu
Hahahaha, huko tukutane tipskwa bashite 'ZERO BRAIN'
tuko wengi aisee .......hapana kesho inabidi nikatafute blanket kariakooMm nilizan ni mm peke yangu barid duh mateso haya




Nimetumia ila haujafua dafu nataka kitu kama hiindo unatumia huo moshi kupata joto Demiss![]()
Ndio m mwanao tena wa ujanani tabu tupuHahahaha, wewe bana
nitafanyaje ss acha tu niwe mbishiUnapambana na hali yako sio,![]()
![]()


Unanitoa ktk reli haya,bibieNdio m mwanao tena wa ujanani tabu tupu
wewe pande zipi mkuu..... though jmosi mimi huwa sitoki kabisaHahahaha, huko tukutane tips



Nakwelii,.komaa chiieffnitafanyaje ss acha tu niwe mbishi
hili baridi ukiliendekeza unaweza usitoke ndani aseew
Ss si uchemshe chai mwenyewe hapoNimetumia ila haujafua dafu nataka kitu kama hii![]()
Kwa hali hii aiseee itabidi niolewe haraka sanatuko wengi aisee .......hapana kesho inabidi nikatafute blanket kariakoo![]()
ma tatoo enhee unatakaNimetumia ila haujafua dafu nataka kitu kama hii![]()

Niko kipori hukuwewe pande zipi mkuu..... though jmosi mimi huwa sitoki kabisa![]()
MmmhKwa hali hii aiseee itabidi niolewe haraka sana