HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nimekumiss pia. Alafu leo nipo mpweke mpweke bora huyu aliefungua geti sasa hiviupo ww? miss you
ukimwona dingimtoto msalimie
Nimekumiss pia. Alafu leo nipo mpweke mpweke bora huyu aliefungua geti sasa hiviupo ww? miss you
ukimwona dingimtoto msalimie
kwann tena?Nimekumiss pia. Alafu leo nipo mpweke mpweke bora huyu aliefungua geti sasa hivi
unaenda wap kuja hapa
Ubinadamu kazi kweli kweli. Yaan kuna baadhi ya watu hawapendi kuona watu wengine wakifurahia maisha. Yaan wao ni maneno maneno tukwann tena?
Nafanya doriaunaenda wap kuja hapa
Fanya kuwapuuza tu. Wakikuchukia wewe usiwachukieUbinadamu kazi kweli kweli. Yaan kuna baadhi ya watu hawapendi kuona watu wengine wakifurahia maisha. Yaan wao ni maneno maneno tu
pole bhana ndo changamoto za maisha..wanasema usiposemwa hujakamilika..chukulia kam ni changamoto ya kukusongesha mbeleUbinadamu kazi kweli kweli. Yaan kuna baadhi ya watu hawapendi kuona watu wengine wakifurahia maisha. Yaan wao ni maneno maneno tu
Kuna kipindi inakuwa too muchFanya kuwapuuza tu. Wakikuchukia wewe usiwachukie
Mnh. Nadhani dawa zipo ila sio vizuri kuzitumia mara nyingi.Hivi kuna dawa ya usingizi?
Sitaki hizi za hospitali, labda kama kuna tunda au viungo ukichanganya unapata dawaMnh. Nadhani dawa zipo ila sio vizuri kuzitumia mara nyingi.
Nimekula vyombo naona vinadunda tu.pole bhana ndo changamoto za maisha..wanasema usiposemwa hujakamilika..chukulia kam ni changamoto ya kukusongesha mbele
ukiona wanasema jua umewazidi
Nikulala tu kiongoziHivi kuna dawa ya usingizi?
Maziwa fresh nasikia yanasaidia. Yawe uvuguvugu. Ila mimi situmii ningejaribu.Sitaki hizi za hospitali, labda kama kuna tunda au viungo ukichanganya unapata dawa
Mkuu unaweza kaa kitandani mpaka panakucha, hata kusinzia hakuna.Nikulala tu kiongozi
yatapita tu usijipe stress sanaNimekula vyombo naona vinadunda tu.
Nitajaribu keshoMaziwa fresh nasikia yanasaidia. Yawe uvuguvugu. Ila mimi situmii ningejaribu.