Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Haya mkuu usiku mwemaKweli lazima uwajibike kwa kazi yako..
Haya mkuu usiku mwemaKweli lazima uwajibike kwa kazi yako..
Na wewe piaHaya mkuu usiku mwema
Lindo niachieni Mimi!Tukienda huko kwa mangi hapa lindo tutamuachia nani...
Inabidi uende kwa mangi hapo dukani mida hii mkuuNimeishiwa Tangawizi Jamani, msaada ili kufukuza Mbu
Mangi kafungua mziki mnene afu mwenyewe kalalaInabidi hence kwa mango hapo dukani mida hii mkuu
Huyo mangi anasikiliza mziki au agenda nyingine mkuu kama ya kuwa fo fo fo na n. KMangi kafungua mziki mnene afu mwenyewe kalala
Huyu ana agenda nyingine! Unaskilizaje mziki ukiwa fo fo fo!Huyo mangi anasikiliza mziki au agenda nyingine mkuu kama ya kuwa fo fo fo na n. K
Inawezekana ni style mpya town manHuyu ana agenda nyingine! Unaskilizaje mziki ukiwa fo fo fo!
Mkuu unakuja kuchungulia tu.0500...GATE CLOSED,TUKUTANE TENA MIDA YETI ILEEEE!
Uko makini....Nafungua geti