ilikuwa nzuri sana mpk rangi yakeKwan ya zamani ilikuwa vp?
ilikuwa nzuri sana mpk rangi yake
Fresh kiongozi. Mambo ni vipi?Kwema aisee, za masiku mingi
Fresh kiongozi. Mambo ni vipi?
Yaani muundo wake siuelewi hata kidogo asee nimeupdate application yao daah imeniumaOooooh kumbe ebu weka picha yake basi
Yaani muundo wake siuelewi hata kidogo asee nimeupdate application yao daah imeniuma![]()
Hemu iweke katika apk kiongozi km kuna uwezekano aseeMimi bado ninayo ile ya zamani bado sijaupdate nawala sifikilii
Hemu iweke katika apk kiongozi km kuna uwezekano asee
daah ningekuelekeza uweke vitu vya kufanya iwe apk baada ya hapo unitumieSifahamu kufanya hivyo
daah ningekuelekeza uweke vitu vya kufanya iwe apk baada ya hapo unitumie
Ingia playstore kama unatumia android phone tafuta application hiyo apo ukimaliza install ifungueNielekeze tu sio tatizo mkuu
Ingia playstore kama unatumia android phone tafuta application hiyo apo ukimaliza install ifungue![]()
pole...huyo mkeo hakupendi maana nyie c mwili mmoja kwann msikeshe wote wakat wa shidaNamsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Ifungue baada ya kuifungua kuna dash tatu kwa juu click hapo zitatokea option nyingi, zikishatokea option nyingi nenda mpk appcontrol fungua hapo italeta option kama una memory card itakwambia chagua memory card haya chagua hiyo njia baada ya hapo itakuleta mpk huku ,hapo utakutana na application zote ulizoinstall kutoka playstore ,haya utabonyeza jamii forum ,vitatokea vipengele ukibonyeza jamii forum haya ww click export apk file then itacreat apk rudi kaicheki utaikuta kwenye internal storage kwenye folder la /download/fungua hapo utaikuta namna hii ,mpk hapo utaweza nitumia telegram au mega au 4shared au google drive..Tayar
Nimesubiria mrejesho wakoTayar
Nipo HBThad
Inna
Jje's
Dingi
Ney
Demiss
Pamoja na washirika wengi mko wapi?
?KipenziiiiNimekumiss kipenda roho mtarajiwa
Naenda kuoga narud ndo naingia ndani sasa hivi nilikuwa mahali Nakunywa k vant na tonic kupunguza maumivu ya mwiliThad
Inna
Jje's
Dingi
Ney
Demiss
Pamoja na washirika wengi mko wapi?