dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,343
Heri siku ya wapendanao wanajamvi
Nzuri dingi kwema?Heri siku ya wapendanao wanajamvi
[emoji137] [emoji137] [emoji137]Kwema humu
Naona humu ndani kimya sana kiongozi[emoji137] [emoji137] [emoji137]
Utoro umekuwa mwingi sana kwa wadau, Labda ValentineNaona humu ndani kimya sana kiongozi
Kwema kamanda vphuko harakatNzuri dingi kwema?
Champions leagueUtoro umekuwa mwingi sana kwa wadau, Labda Valentine
Wanatuchania mikeka banaChampions league
Hujaenda kwa wifiieeWarembo wetu wamefichwa na wazee.
Hallo kipenzi mtarajiwaNaona humu ndani kimya sana kiongozi
Wewe upo wapiWatu wapo viunoni
Haya tukesheeeSijakesha siku nyingi, leo na mimi nakesha wakuu
KitandaniWewe upo wapi