HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Mambo yatakuwa ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji92]Mueleze ajue
Tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Mambo yatakuwa ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji92]Mueleze ajue
[emoji394] mpelekee hiyo barua, ukirudi uje na majibu yake.Uwiii niwache tu sitaki kufa kabla
Hebu nipe ujumbe ule wa kaka naona naitwa sasa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] haiwezekaniNahisi ni wewe pekee ndio haujui huu mpango kabambe
Inawezekana. Kipindi ambacho ulitoweka ndio kipindi hiko hiko mikakati ilipangwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] haiwezekani
Pole!Stress [emoji22]
WeraweraaaaaaaTusimwage mchele kwenye kuku wengi. Mambo yatakuwa ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji92]
Tulia nimekuambiaZipi hizo?
Mikakati ipi hiyo?Inawezekana. Kipindi ambacho ulitoweka ndio kipindi hiko hiko mikakati ilipangwa
Tumejaa tele ka pishi la mcheleWale Wa usiku mpo?
Kumbe wewe mbayaaa[emoji394] mpelekee hiyo barua, ukirudi uje na majibu yake.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kivipi tena?Kumbe wewe mbayaaa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mikakati ipi hiyo?
Kweli wewe wa kunificha mikakati inayopangwa nikiwa sipo?
hebu muulizeMikakati ipi hiyo?
Kweli wewe wa kunificha mikakati inayopangwa nikiwa sipo?
Sawa tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] kivipi tena?
Nitakucheck pm[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Bila shaka wewe ni shabiki wa simba, maana si kwa kushangilia hukoWeraweraaaaaaa
Ama kweli, mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]