Nini jamani mbona mwanichanganya wakati njaa inaniuma mwenzenu?Sawa tu
Jje's ndio mratibu wa shughuli nzimaBila shaka wewe ni shabiki wa simba, maana si kwa kushangilia huko
Mbona mapema hivyo mratibu wa ile shughuli yetu.Bandugu nawapenda
Mlale unono
Kuachwa na zimebaki siku sita tu sitaki
Byeeee
Bandugu nawapenda
Mlale unono
Kuachwa na zimebaki siku sita tu sitaki
Byeeee
haya mamy, lala unono ila uhakikishe barua inamfikia mlengwa kabla jua halijachomozaNjoo nikupe.Naomba mateee
Njoo nikupe.Naomba mateee
Kama ni mimi mlango uko wazi, ushindwe mwenyewe tuUnajuaje kama bado sio wewe niliyekufia?
Tupige tizi kdgNani yupo lindo sasa hivi?
Mwanafunzi ulikuwa head tatizo lako nilikushindwa kwa utoro na ukorofi wako.Ama kweli, mla nawe hafi nawe bali mzaliwa nawe
Cha Asubuhi tayari??Tupige tizi kdg
Tayari mkuu,nanyoosha viungo gymCha Asubuhi tayari??