Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Leo kichwani sio Mimi Tupo wengi Sana mbege naongea salamu imefikaDemiss nakusalimu
Leo kichwani sio Mimi Tupo wengi Sana mbege naongea salamu imefikaDemiss nakusalimu
Nimetoka kumsindikiza denti hostel ,so Mimi nipo salaaaaamaSalama humu wandugu
Ukitaka lolote Uliza Leo nitasema ukweli si Unajua Mlevi ni mkweliEndelea mamii kulewa,nitakufungulia mlango usijari
We pimbi Haya twende usije ukapotea
Umekunywa ya wapLeo kichwani sio Mimi Tupo wengi Sana mbege naongea salamu imefika
Hahahaha, lolote tena?Ukitaka lolote Uliza Leo nitasema ukweli si Unajua Mlevi ni mkweli
Nakuja kipenzi mkononi Nina k vant naomba nipokeee kwa bashasha za mahabaNakupenda mno ndio maana, niko hapa nje nakusubiri urudi nifunge mlango,mbwa wasikuume
We saa Mimi natanguliaKwani mimi saa,usinichoshe![]()
Hmm mwanamke au mwanaumeNimetoka kumsindikiza denti hostel ,so Mimi nipo salaaaaama
K vant imenitendea mbaya hapa nalia tu hata sjui sababuUmekunywa ya wap
Karibu,Nakuja kipenzi mkononi Nina k vant naomba nipokeee kwa bashasha za mahaba
Hahahahhahahhhhhh NdioHahahaha, lolote tena?
Mmmh, kunywa maji,urudi hmK vant imenitendea mbaya hapa nalia tu hata sjui sababu
Yaaap!!! Namuonea huruma mzazi wake anajua Toto lake limelala kumbe limetoka kuchezea dushe,,,very sorry first yearsHmm mwanamke au mwanaume
Ndio hilo jina LA kigogoAisee...kumbe hili ni jina la kigogo?
Pimbi wangu inabidi niongeze uangalifuNilikuwa najaribu nione kama kweli nimeacha![]()
Ongeza nyingine lakini utalipaWewe Leo nimelewa nisije nikaropoka mambo yako mm na nabiii Tito bila kubust hainogi story
Sawa,kwako tu nitasemaHahahahhahahhhhhh Ndio