Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ndoa gani tena wakati niliwaomba ushauri hapa mkanichunia....Hahaa ujue nmekumiss vp ndoa imesha settle lkn

Ndoa gani tena wakati niliwaomba ushauri hapa mkanichunia....Hahaa ujue nmekumiss vp ndoa imesha settle lkn

Khaaa huo wale wadada waswahili waswahil maneno mengi ndo wanawezaUnauvuta kama nusu saa hivi ndo unauachia
Utoro wako lazima ukuponzeNaona mna mpango mkakati wewe na Inna....
Nawakumbusha tu kwamba akuanzae mmalize, jiandaeni![]()
![]()
![]()
Upo Mungu mwema ananipigania sijui wewe kipenzPole dia..uzima upo lakin?
Kweli leo mmeamua kunichangia, yaani na wewe unasapoti mimi kusonywa?Hapo msonyo wa kinaijeria ndo ungefaa
Eeeeh kweli hivi ulimwambia yule mtu sasa tukikwambia umseme tukusaidie hutaki...haya njoo ninong'oneze inboboNdoa gani tena wakati niliwaomba ushauri hapa mkanichunia....![]()
![]()
![]()
![]()
Ama kweli, asiyekuwepo na lake halipo.Utoro wako lazima ukuponze
Yani nimejifanya kulala ushaingia JF?Unauvuta kama nusu saa hivi ndo unauachia
Nilikua na mashaka hofu nyingi ila upo hapa leo vimeondoka vyotee..nmekumithiiii tuUpo Mungu mwema ananipigania sijui wewe kipenz
Nilipanga leo nikunong'oneze ila kwa msonyo wako nimeghairi, nitamnong'oneza Neybright ndo sina ubaya naeEeeeh kweli hivi ulimwambia yule mtu sasa tukikwambia umseme tujusaidie hutaki...haya njoo ninong'oneze inbobo

Haha jamn mwenza na ww unakujaga pande hzi...amekuja kwangu jamn si umekua nae mchana woteYani nimejifanya kulala ushaingia JF?
Pole Thad bint bundizAma kweli, asiyekuwepo na lake halipo.
Naona nimepitwa na mengi
Nimepita nikajikuta natokea mtaa huu.Haha jamn mwenza na ww unakujaga pande hzi...amekuja kwangu jamn si umekua nae mchana wote
Ohooo nisamehe Thad wangu..fanya ukujeNilipanga leo nikunong'oneze ila kwa msonyo wako nimeghairi, nitamnong'oneza Neybright ndo sina ubaya nae![]()
![]()