Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Karibu umoja na ushirikiano ndo ngao yetuhumu ndani wanachart kwa mijuano
Karibu umoja na ushirikiano ndo ngao yetuhumu ndani wanachart kwa mijuano
Umetoka viwanja nn??Wenda kwa miguu tunashida sana jamani, kuna mahali napita ila nipo mwenyewe naogopa balaah, aliyetayari kujitolea kunisindikiza please naomba msaada wake [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ndo maana nakupenda.Okey madam, nipo na uvumilivu wa hali ya juu
Nilimwuliza au ni mwifwa single dady akanyanyua mabega na kushusha akatingisha kichw Bado natafakar zile isharaHuenda mimi hapa maana.....
Naona umemfata kk wako [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nawasalimu wote
Napita tu
Wap ww unakuja sa 11 kumsalimia demissBundiz plus popoz nitakuja baadae kukagulia lindo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
AhsanteniKaribu umoja na ushirikiano ndo ngao yetu
Sijawahi kupendwa/kuzimikiwa hapa, hii bahati nayo inapita kushoto tena.Nilimwuliza au ni mwifwa single dady akanyanyua mabega na kushusha akatingisha kichw Bado natafakar zile ishara
Maeneo gn unakwenda maybe naweza kumruhusu mbwa wangu akusindikizeWenda kwa miguu tunashida sana jamani, kuna mahali napita ila nipo mwenyewe naogopa balaah, aliyetayari kujitolea kunisindikiza please naomba msaada wake [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Asubuh lazma apige Sm kuniamsha tuende kwenye uzi wa morning gloryWap ww unakuja sa 11 kumsalimia demiss
Ngoja tumsubir atamsema nani?Sijawahi kupendwa/kuzimikiwa hapa, hii bahati nayo inapita kushoto tena.
Amaa kweli, kufa kwa nyani miti yote huteleza[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ajaona labda vibaRakA watampelkea ujumbeHaha natumain atakua kaona ujumbe
Pole miss ila usikuwote huu kunanWenda kwa miguu tunashida sana jamani, kuna mahali napita ila nipo mwenyewe naogopa balaah, aliyetayari kujitolea kunisindikiza please naomba msaada wake [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Asubuh lazma apige Sm kuniamsha tuende kwenye uzi wa morning glory
Demiss akiona hii, kesho hatakusalimia kwenye morning glorySijawahi kupendwa/kuzimikiwa hapa, hii bahati nayo inapita kushoto tena.
Amaa kweli, kufa kwa nyani miti yote huteleza[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Bado unachungulia niljua umesepa[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Demiss akiona hii, kesho hatakusalimia kwenye morning glory
Jambo wewe?Bado unachungulia niljua umesepa