Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Nataka kukeshaKahawa usiku wote huu au una mpango wa kukesha?
Nataka kukeshaKahawa usiku wote huu au una mpango wa kukesha?
Poa mkuuNiajeeeeeeeeee
Una viatu vizuri cha MdekoKhokho Khokho Khokho napita![]()
Baki hapa tukeshe pamojaNataka kukesha
Njoo tukeshe woteeNataka kukesha
Napigaa patrolUna viatu vizuri cha Mdeko
PoleeNalianzisha tu Leo. Komredi Mwifwa nisamehe bure. Nina furaha ( yanga) nina huzuni (Liverpool's)
Sijuii huyu mzee kapoteleaa wapiitepetepe ndembendembe
mzee anasoma upepo kwanza ,akiamka anaamsha popo kwelikweliSijuii huyu mzee kapoteleaa wapii
tukisema usiku wa manne maana yake popo linaanzia sa4Jaman huu n usiku wa manane hayo manane n nini na kwa nn yasiww manne au matano
Hahahaha umewaza nini mkuu?Jaman huu n usiku wa manane hayo manane n nini na kwa nn yasiww manne au matano
Hahaahaa ni kawaida mkuu s unajua mtu ukiishiwa usingiz alaf ukijiangalia huna stress so akili ipo free bas unajikuta unafikiria katika vile ambavyo hujawahi fikiriaHahahaha umewaza nini mkuu?