JamiiForums Usiku wa manane
IMG_20180127_022041_571.JPG
siku wakiamua kunisuta
 
Hahahaaa napata picha unavyokodolea kioo upate kuona ndani

Sasa mpambanaji yeye abakie kulea tu hamna namna
Story yenyewe sasa gari imepaki mafichoni benten vidole viwili juu kufungua milango yoteeee amekaa karibia lisaa lizima mara ghafla gari Kali ikafiika ina tinted balaa ikafunguliwa mlango mm nikichungulia ghafla benten akafunga mlango gari yake akaingia kwenye gari Matata Uwiii wakachelewa kufunga kamlango na mm nikapiga jichoo refu mara paaap busu na dendaa matata na mlango ukafungwa nikakumbuka siku tumekaa hotel fulan saa 5usku Ben ten wakaingia na small house wakakaa sehem ya gizaa ile j3 ambayo dada alibreak internet kumbe benten Nipo makao makuu napetiwa machunguu usikutee dada aliamua kubreak ili nirud kwa makonda
 
Yule kaka handsome wa vidole viwili juu aliyekuwa akisemwa na mkewe hatunzi Leo nimemuona akifanya mambo ya mahaba na mdada mwingne nahisi na yeye ni new benten huku makao makuu niliwafatilia mwanzo mwisho toka j3 mpaka Leo nabaki na swali shost analia ig Na Mengiii kibenten kinalelewa dom na mb aka viti maalumu mambo ni fireeee
 
Back
Top Bottom