JamiiForums Usiku wa manane
Hahaaaa hiii kichwa ilivyo na stress leo ntaweza kung'amua codes kweli...
Nipe nijaribu
Yule kaka handsome wa vidole viwili juu aliyekuwa akisemwa na mkewe hatunzi Leo nimemuona akifanya mambo ya mahaba na mdada mwingne nahisi na yeye ni new benten huku makao makuu niliwafatilia mwanzo mwisho toka j3 mpaka Leo nabaki na swali shost analia ig Na Mengiii kibenten kinalelewa dom na mb aka viti maalumu mambo ni fireeee
 
Yule kaka handsome wa vidole viwili juu aliyekuwa akisemwa na mkewe hatunzi Leo nimemuona akifanya mambo ya mahaba na mdada mwingne nahisi na yeye ni new benten huku makao makuu niliwafatilia mwanzo mwisho toka j3 mpaka Leo nabaki na swali shost analia ig Na Mengiii kibenten kinalelewa dom napenda mb aka viti maalumu mambo ni fireeee
Umbea wa code huu ila nimeuelewaa..Thad kaukosa
 
Yule kaka handsome wa vidole viwili juu aliyekuwa akisemwa na mkewe hatunzi Leo nimemuona akifanya mambo ya mahaba na mdada mwingne nahisi na yeye ni new benten huku makao makuu niliwafatilia mwanzo mwisho toka j3 mpaka Leo nabaki na swali shost analia ig Natumia Mengiii kibenten kinalelewa dom napenda mb aka viti maalumu mambo ni fireeee
Chaaaaaa wanaume hawa nawavulia chupii aiseee

Hapo mwanaharakati alivyoweka mambo kwenys media
Huyo small house anachochea gia huko, mzee baba anapata pa kupunguzia stress.
Ukisema cha nini wenzio wanauliza watakipata lini
 
Chaaaaaa wanaume hawa nawavulia chupii aiseee

Hapo mwanaharakati alivyoweka mambo kwenys media
Huyo small house anachochea gia huko, mzee baba anapata pa kupunguzia stress.
Ukisema cha nini wenzio wanauliza watakipata lini
Yani anapetiwa kama mfalme alafu kumbe ndo handsome hivi jaman hata mm nilimzimikia ghafla kwa kweli uwiiii
 
Back
Top Bottom