chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,751
Ndiyo lugha gani hii. Vipi ubuyu wako ulipata?Dingimtoto
Ndiyo lugha gani hii. Vipi ubuyu wako ulipata?Dingimtoto
Unalipia membership...10000 kwa mwezi.me ndo katibu mwenyekiti Dingimtoto...mwekahazina ni ThadHeeeee. Nipo jana na leo.
Naomba daftari la members huenda nikawa member wa kudumu.
Karibu jamvini00:09
Ubuyu upi huo?Ndiyo lugha gani hii. Vipi ubuyu wako ulipata?
Ney wapi tena naona unapiga hatua mdogo mdogo. Kwema lakini?
Na makucha YakeMzima. Naona kumekucha
Au sio Mzee BabaLindo linaendelea boss jeshi la mtu mmoja halina zamu.
Leta manenoNa makucha Yake
Pokes Funguo kabisa maana humu pakuwa salama kwa uwepo wako mkuuHeeeee. Nipo jana na leo.
Naomba daftari la members huenda nikawa member wa kudumu.
Unanijibu mm hivyo ama Ivuga?utajua mwenyew niwe na utoto au ukubwa that ' s me
Pokes Funguo kabisa maana humu pakuwa salama kwa uwepo wako mkuuHeeeee. Nipo jana na leo.
Naomba daftari la members huenda nikawa member wa kudumu.
Ameolewa na mjr95Thad yupo wapi siku hizi?
Hapatikani humu kabisaItakiwa amejiteka huyu si bure.
Thad imejipost
Pokes Funguo kabisa maana humu pakuwa salama kwa uwepo wako mkuuHeeeee. Nipo jana na leo.
Naomba daftari la members huenda nikawa member wa kudumu.
Upitilize chumbani kabisa
Nahisi anahudumia ndoaThad yupo wapi siku hizi?
Labda inawezekana ikawa hivyo au laAmeolewa
Ule mweupeUbuyu upi huo?