acha tuu mkuu mi mwenyewe na asili ya uko check aviator for verification
Mzuri kwakweli, huyu ndo unamueka ndani kabisa, unarudi kazini unamtuka mtoto mzuri kama huyu ameakuandalia chakula..... Mr Rocky sema chochote hapa
Mkuu utafiti niliona nikapita kimya kimya miss chagga asije nipiga na mwiko wa ugali aise
Ni shidaaaa
hivi kili ma njaroo hakuna kama hawa kwelii
Mr Rocky OLE WAKO MKUU
Wapo pia kabila fulani lenye asili hio lakini wao wako Lushoto- Tanga, linaitwa kabila la Wambugu aiseee wana nywele ndefu laini nzuri balaaa, ni ndugu zake rafiki yangu na mtani wangu na shemeji mtarajiwa CHAMVIGA (mwana CCM) pengine Paloma anawafahamuHao wanawake wa ethiopia wapo hata bongo,kuna kabila la wairaq al marufu wambulu wametokea huko ethiopia asili yao naniwazuri,wako bombasana
View attachment 164371 sina cha kuongeza