Jamani ethiopia...

Jamani ethiopia...

Hahaaha kwani leo si ndo ijumaa jioni?

hahahahha mpaka saa sita za usiku mkuu utafiti ndo ijumaa inaanza bado muda sana

Habari za kwako mkuu...naona kama kawaida unatokea kumlundenga mlimbwende!!! umempa taji gani?
dikembe salama mkuu
mambo yako yanaendaje kaka
Kimya kingi sana
Huyop amelivaa la kwanza kabisa kesho ijumaa anafaa kupelekwa viwanja akaskelewuuu
 
Last edited by a moderator:
V/S Tanzanian girlshttps://www.google.co.tz/search?q=ethiopian+girls&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ei=dnWZU90DjIHtBqzqgJAK&sqi=2&ved=0CAYQ_AUoAQ&biw=1366&bih=531#imgdii=_https://www.google.co.tz/search?q=Tanzanian+girls&source=lnms&tbm=isch&sa=X&ei=gXaZU5mlMsf2O4nrgZAJ&ved=0CAYQ_AUoAQ&biw=1366&bih=531#imgdii=_
 
Hahaaa..hapo nadhani unatafuta yaliyowakumba vijana wetu wa KARUME...Maofisi yote itabidi yafungwe na hiki ndicho kipindi cha wale wanaotumia advantage ya world cup kuchepuka.

Tusifanye kazi mkuu, me naona wazo zuri. Na atakaekamatwa kachepuka kwa kipindi cha world cup adhabu marambili cc wake zetu
 
hahahahha mpaka saa sita za usiku mkuu utafiti ndo ijumaa inaanza bado muda sana

dikembe salama mkuu
mambo yako yanaendaje kaka
Kimya kingi sana
Huyop amelivaa la kwanza kabisa kesho ijumaa anafaa kupelekwa viwanja akaskelewuuu

Nipo kaka...sikuoni hii week nzima nlikuwepo hapa jamvini hatugonga mkuu., au nawewe unachungulia na kukimbia kulitumikia taifa na familia kwa ujumla?
 
Mkuu dikembe si unajua tena unachungulia na kukimbia kutumika bana usije ukaiba muda wa mwajiri
Ila nipo sana kaka
Ukiona hivyo nenda pale mwembeni unikumbushe hata kwa salam kaka
utafiti muda wa kuanza weekend bado usije ukaaga eti leo ni weekend hiyo itakuwa ya kwako
 
Last edited by a moderator:
Tusifanye kazi mkuu, me naona wazo zuri. Na atakaekamatwa kachepuka kwa kipindi cha world cup adhabu marambili cc wake zetu
Brazil nadhani hii kitu wamekubaliwa, natamani sana na kwetu ingekua hivi, mwezi mzima kuangalia kandanda la hali ya juu, toka kwa vijana kama RUMELU LUKAKU, HAZARD, NEYMAR, FRED, OSCAR, MESSI, RONALDO......hahaaaa hapo mkuu ntakesha tu natazama
 
Ayyyaaa mbona hujamtaja ata mmoja kutoka arsenal?????
 
Mkuu dikembe si unajua tena unachungulia na kukimbia kutumika bana usije ukaiba muda wa mwajiri
Ila nipo sana kaka
Ukiona hivyo nenda pale mwembeni unikumbushe hata kwa salam kaka
utafiti muda wa kuanza weekend bado usije ukaaga eti leo ni weekend hiyo itakuwa ya kwako
Haya mkuu, vp mpira unatizamia wapi? nyumbani hapanogi ila chunga usitumie kigezo cha worldcup kutoka njia kuu..
 
tunashobokea nywele tu

we have very beautiful women in tanzania
 
Back
Top Bottom