Jamani ethiopia...

Kukuibia data kidogo tu, nimeunganisha in red na Eriteria maana ni wale wale
Around 125 million women and girls in Africa and the Middle East have undergone FGM. Over eight million have experienced Type III, which is most common in Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Somalia and Sudan
umejuajee si kweli
 
Unaongea unachojua? nenda ethiopia ukirudi utawaona Wambulu ni wasafi kupita maelezo na kuhusu kukeketwa katika africa nchi inayoongoza kwa kitu hicho ni ethiopia kwa hiyo usitarajia kukuta mwenye uima uko mahali. wahabeshi ni maskini na ndiyo maana kila siku wanakimbia umaskini na kwenda kuishi kama wakimbizi, mara ngapi wamekutwa wanasafirishwa kwenye maroli hapa Tanzania wakitaka kwenda kuzamia uko kusini?
mkuu kwani umelazimishwaa kwani hatujui wambulu wapo ila wachafu mzeyaa afu wengi wao wanamichataa
 
mkuu don't take it personal banaa....kizuri kisifie

Back
Top Bottom