Jamani ethiopia...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
ETHIOPI.jpg sina cha kuongeza
 
acha tuu mkuu mi mwenyewe na asili ya uko check aviator for verification

Mzuri kwakweli, huyu ndo unamueka ndani kabisa, unarudi kazini unamtuka mtoto mzuri kama huyu ameakuandalia chakula..... Mr Rocky sema chochote hapa
 
Last edited by a moderator:
Hao wanawake wa ethiopia wapo hata bongo,kuna kabila la wairaq al marufu wambulu wametokea huko ethiopia asili yao naniwazuri,wako bombasana
 
Hao wanawake wa ethiopia wapo hata bongo,kuna kabila la wairaq al marufu wambulu wametokea huko ethiopia asili yao naniwazuri,wako bombasana
Wapo pia kabila fulani lenye asili hio lakini wao wako Lushoto- Tanga, linaitwa kabila la Wambugu aiseee wana nywele ndefu laini nzuri balaaa, ni ndugu zake rafiki yangu na mtani wangu na shemeji mtarajiwa CHAMVIGA (mwana CCM) pengine Paloma anawafahamu
 
Last edited by a moderator:
Karibuni huku Babati kuna immigrants wa hizo species, nazifaidije? Madesilii wa Kiiraq hawana NO na hawataki hela ni castle milk na coca basi. HIV prevalence bado iko chini 1.2%
 

Take your time nenda Mbulu, kuna kuku wa kienyeji wa level hizi na zaidi, ila lazima uwekeze kidoogo kwenye usafi wake na pamba hutaona kama kuna haja ya kwenda Ethiopia wala Rwanda, Tanzania tumejaaliwa kwa kila kitu ila ni wavivu wa ku-exploit, kwasababu mmezoea ku-import hata penseli basi nendeni Ethiopia mtuache tulioziona fursa
 
Ethiopia, Somalia, Cape Verde, Kondoa, Manyara, kuna balaa sana hayo maeneo aiseee.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom