Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,157
- 4,457
Ethiopia, Somalia, Cape Verde, Kondoa, Manyara, kuna balaa sana hayo maeneo aiseee.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Sasa kwanini tu-Import wakati tunaweza kutumia vya ndani?
Ethiopia, Somalia, Cape Verde, Kondoa, Manyara, kuna balaa sana hayo maeneo aiseee.
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Sasa kwanini tu-Import wakati tunaweza kutumia vya ndani?
B'REAL Weekend bado haijaanza mkulu! Utafanya watu washindwe kufanya kz waanze kuwaza Wikend!
Safari hii B'REAL Una nini kipya ktk hii Wikend?
Cc: utafiti Mr Rocky OLESAIDIMU kiwatengu sungura1980 mndengreko etc all!
Mkuu Ntuzu hatuhitaji Ngetwa ila natural power zinatosha maana hao hawajazoea mikiki mikiki ya vijana wa mjini ila kitu natural unakifundisha mwenyewe
Mkuu utafiti usije sahau kuwa leo sio weekend aise ukachepuka
cc Mndengereko, sungura1980, Kibo10 na BATTO
Habari za kwako mkuu...naona kama kawaida unatokea kumlundenga mlimbwende!!! umempa taji gani?Mkuu Ntuzu hatuhitaji Ngetwa ila natural power zinatosha maana hao hawajazoea mikiki mikiki ya vijana wa mjini ila kitu natural unakifundisha mwenyewe
Mkuu utafiti usije sahau kuwa leo sio weekend aise ukachepuka
cc Mndengereko, sungura1980, Kibo10 na BATTO
Mkuu worldcup itatufukuzisha kazi, masaa mabovu kweli. sijui makazini itakuwaje
Sasa ukiwaona watoto wakisukuma nahisi utasahau hadi kula.........lol
Sasa ukiwaona watoto wakisukuma nahisi utasahau hadi kula.........lol
Hahaaa..hapo nadhani unatafuta yaliyowakumba vijana wetu wa KARUME...Maofisi yote itabidi yafungwe na hiki ndicho kipindi cha wale wanaotumia advantage ya world cup kuchepuka.Mkuu mimi nimewaza kitu, kwanini tusiende kwa mkuu wa kaya kupeleka maombi ya mapumziko kwa huu mwezi mmoja?
dogo, acheni ulimbukeni nyie, nchi yenu wapo warembo wa kila design. Ukiwataka kama hao waethipia wapo wabarbaig, wairaq, wambulu, warangi..wengi tu kibao. Ila wabantu warembo wengi kabisa mentality yenu tu ndio ovyo.View attachment 164371 sina cha kuongeza