Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Huu uzi mtamu sana ukisoma page ya kwanza mpaka ya sita
 
Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Ndio mlishampokea sasa na muone mlivo waroho wa madaraka
 
Lowasa si mwizi ila ni mbinafsi sana,ukiongelea deal ya RICHMOND/DOWANS/SYMBION,EL alishasema muhusika mkuu ni presdaa mwenyewe sasa hata kama EL anachukiwa basi atafutiwe kitu sahihi cha kuchukiwa huko lakini si haya matakataka ya mkulu hya ya umeme.Atawadundisha chini kirahisi sana kama anaandamwa kwa haya,Mwakyembe mwenyewe limemshuka kwa huyu mndundu wa kimasai,na akihamia CDM watamkubali tu au mumesahau busara ya Mbowe yule dogo Milya alipokuwa anahamia CDM,alisema nanukuu japo si neno kwa neno "vyama vya siasa ni kama vyombo vya usafiri yeyote anaweza hamia kwenye chochote ili kutimiza malengo yake ya kisiasa".Na kwa mkorogano huu jamaa akihamia CDM uchaguzi uitishwe hata kesho CCM wataangukia pua na kuinuka haitokaa itokee kamwe.Sasa kwa sababu CCM uhai wake umeshikiliwa namatumizi mabaya ya vyombo vya dola na nguvu za fedha na unapokuja kwenye hilo la pili EL anazo za kutosha na kubaki.Matumizi ya vyombo vya dola huwa yanafeli mbele ya mikakati na mbinu bora na kwenye hili nalo EL yupo vizuri.CCM wakimtimua EL watakuwa wamejikalisha wenyewe chini ya mretemu.Naliona silioni hilo.
Yaani povu lilivyokutokoga hapa natamani sana nikuone leo ulivolainika na ramli zako za kichawi..chadema laana inawatafuna na ikulu mtaiona ktk picha tu..Lowassa urais keshaaukosa na kama uliahidiwa u dc rudi kwenu ukalime maboga
 
EL hawezi fukuzwa CCM na hawezi kuhama CCM hata jina lake likikatwa kwani yeye atakua king maker come 2015 na atatoa raisi si mwingine.....Nape na Mangula ndo watakao kimbia
Ha ha ha...
Kazi ipo
 
Hawezi kupokelewa labda Sumaye.

Thubutu! Nani atathubutu kttoa kauli ya kumtimua EL? Labda asiyejua yaliyomkuta Mkama!

nani ampokee fisadi?

CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.

Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.

hakuna ccm bila lowasa na hitakuja kuwa ccm bila lowasa milele.

akuna mwenye ubavu wa kumtimuwa lowassa ndani ya ccm.

Chadema Wakimpokea Lowassa sipigi kura kabisa.

Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?

Unaweza kumtimua Lowasa mmiliki wa CCM, muulize Nape ilibidi ile tamthilia yake ya kujivua gamba iwe diluted.

Naunga Mkono hoja 1000%

kama imani iko hivyo (hakuna ccm bila lowasa) kwanini sasa tusiamini kuwa hakuna CDM bila Zitto?

CDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?

CDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?

Hatuwezi kujadili vitu visivyowezekana,rejea LIST OF SHAME pale Mwembeyanga!

Umefikiri sana kitu ambacho hakipo wala hakiwezekani!!!

Wewe na familia yako hamtaweza kutoa mchango hata 1/500 ya mchango wa Sugu. Afande sele mdharau na Rasta zake, hata Nyerere alimdharau Bob Marley, lakini baadae alimfata na kumpongeza. Sele ni msanii anayekubalika.

Lowasa si mwizi ila ni mbinafsi sana,ukiongelea deal ya RICHMOND/DOWANS/SYMBION,EL alishasema muhusika mkuu ni presdaa mwenyewe sasa hata kama EL anachukiwa basi atafutiwe kitu sahihi cha kuchukiwa huko lakini si haya matakataka ya mkulu hya ya umeme.Atawadundisha chini kirahisi sana kama anaandamwa kwa haya,Mwakyembe mwenyewe limemshuka kwa huyu mndundu wa kimasai,na akihamia CDM watamkubali tu au mumesahau busara ya Mbowe yule dogo Milya alipokuwa anahamia CDM,alisema nanukuu japo si neno kwa neno "vyama vya siasa ni kama vyombo vya usafiri yeyote anaweza hamia kwenye chochote ili kutimiza malengo yake ya kisiasa".Na kwa mkorogano huu jamaa akihamia CDM uchaguzi uitishwe hata kesho CCM wataangukia pua na kuinuka haitokaa itokee kamwe.Sasa kwa sababu CCM uhai wake umeshikiliwa namatumizi mabaya ya vyombo vya dola na nguvu za fedha na unapokuja kwenye hilo la pili EL anazo za kutosha na kubaki.Matumizi ya vyombo vya dola huwa yanafeli mbele ya mikakati na mbinu bora na kwenye hili nalo EL yupo vizuri.CCM wakimtimua EL watakuwa wamejikalisha wenyewe chini ya mretemu.Naliona silioni hilo.

Hawezi fukuzwa hata siku moja.sana sana ataachana na siasa uchwara na kuendelea na biashara zake kama vile mshkaji wake RA

mwz hatakiw cdm, ccm hawawez kumfukuza wao sheria hamna ila kufahamiana. panya hawez kumfukuza panya

Kama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.

Chadema hawawezi hata kidogo kumpokea EL. Sumaye kwa haiba yake kwa jamii ya wana mageuzi anaweza pokelewa Chadema.

CCM Kamwe hawawezi kumfukuza Lowasa hawana ubavu huo wakijaribu tu ndio utakuwa mwisho wao.

Hawawezi achakumpokea kwa Kuwa viongozi wajuu wote ni MAFISADI kama yeye!

Mbowe na Padri Slaa walishaweka msimamo wazi kuwa safari hii HAWATAPOKEA MAKAPI kutoka CCM

Chadema hawawezi kumpokea katu.Labda akagombee uaskofu ktk makanisa alikopeleka rushwa zake.

kwani panya (mwizi) anaweza kukaa kwenye kundi la paka?

hii siyo sahihi, walisema hawatapokea maccm watakaotemwa katika kura za maoni, wanaotaka wajoin mapema; lakini siyo type ya Lowassa

EL hawezi fukuzwa CCM na hawezi kuhama CCM hata jina lake likikatwa kwani yeye atakua king maker come 2015 na atatoa raisi si mwingine.....Nape na Mangula ndo watakao kimbia

Nani wa kumfukuza EL ccm?Uwaziri mkuu wenyewe kaujiuzulu kwa hiyari yake mwenyewe!

EL aende chadema ili iweje na mwalimu Nyerere keshakufa?Nani wa kumzuia?

Hakuna mtu anayeweza kusema lolote kwa EL, ccm yote ni mali yake na wengine wote ni watumwa wake tu, wewe hukumbuki walikuja na sera za kuvua gamba huoni EL anavyowavua magamba mawaziri? Kama kuna kidume ccm athubutu kumfukuza EL uanachama.

Huku CDM hapana

Hatuwezi kumpokea CHADEMA kamwe.

Aende huko, cdm aje kufanya nin ?

chadema hawawezi kumpokea Lowasa.

El hawezi kuhamia cdm ba hafikirii hilo na cdm hawafikirii kumpokea mtu km huyo hata cku moja ila hapa ni kujaribu kukimbiza masaa na mada hii.

Mosi, EL ni zaidi ya CDM sasa EL atahamiaje CDM? CDM ndio inaweza ikahamia kwa EL na sio EL kuhamia CDM.

Pili hakuna mtu mwenye akili timamu anayehama kutoka kwenye taasisi kubwa kwenda kwenye kigenge cha wahuni.

Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.

:cool2:

ccm hawana ubavu wa kumfukuza lowasa.Wakimfukuza huo ndio mwisho wa ccm!

nani anawezamfukuza Lowasa pale ccm?

Lowasa ni zaidi ya ccm,wakimfukuza chama kinakufa!

el ndo sisiem yenyewe

Lowassa ni mchafu, hapaswi kuingia CHADEMA

Akitubu Madhambi yake ya ufisadi na rushwa atapokelewa na kuwa mwanachama wa kawaida ambaye hataruhusiwa kugombea cheo chochote!
AKIBA YA MANENO NI MUHIM, ni katika kubadili gear angani
 
Back
Top Bottom