Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Haya ndio aliyosema Zitto kuhusu fisadi Mbowe."Lissu anasema nimepewa magari
2 na Mzee Mkono. Anasema
kaambiwa na Mkono. Naamini
Mkono alimwambia pia mwaka
2005 alimpa Freeman Aikaeli
Mbowe tshs 40m ili Mbowe
asifanye kampeni Musoma vijijini.
Nadhani alimwambia pia mwaka
2008 (baada ya orodha ya
mafisadi kutangazwa 2007) Mkono
alimpa Freeman tshs 20m za
uchaguzi wa Tarime na Freeman
akasema kwenye chama ametoa
mkopo na akalipwa. Nadhani
alimwambia pia kuwa Mwaka 2010
Mkono alimpa Mbowe tshs 200m
za kampeni ya Slaa. Pia
hakusahau kumwambia kuwa
Rostam Aziz alimpa Mbowe tshs
100m za kampeni. Lissu anajua
kuwa gazeti la Tanzania Daima
limeanzishwa na fedha za chama
kutoka Conservative party?
Nimefanya internship yangu kwa
Mkono and Company Advocates
kuhusu masuala ya mikataba.
Mzee Mkono ni Mzee wangu na
alisaini petition ya kumtoa Waziri
Mkuu Pinda.
Lissu awaambie waliyemtuma
wamwambie ukweli wote. Lissu
ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi
namtaka mama wa kifaranga
ajitokeze. Aeleze aliingia deal gani
na Kinana na Sumaye mwaka 2005
kufuatia deni lake NSSF. Aweke
wazi mkataba kati yake na NHC
kuhusu nyumba ya Umma ilipo
Club Bilicanas.
They must know I am not a push
over. Chacha died, I won't.
Mtu ambaye hawezi kuheshimu
mke wake aliyemzalia watoto
hawezi kunyooshea mtu kidole
kuhusu maadili[/QUOTE]
Kama pesa hipo wanabeba
 
Nguvu ya Lowassa inatisha sana.

Wenyeviti wa CCM Mikoa...wengi kawapachika walipo.

Wenyeviti wa CCM wilaya...kawapachika.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu...kawapachika.

TISS wengi...wanaripoti pia kwake.

Karume na kundi lake...wapo nyuma ya EL.

Wilson Mukama anamjua EL ni nani, naye Nape Nnauye anamjua fika Lowassa ni nani nchini.
 
Mbona hakusema hayo yote kabla? Hii yote ni defensive mechanism ila haitamsaidia chochote! Anazidi kujishushia heshima!!
 
Kwanza ni msahishe mleta mada,lowasa hakustaafu bali alilazimishwa kujiuzulu,Na kingine ni kwamba lowasa ni mtu Wa kulipiza visasi hivyo kikwete atashinikiza lowasa kutoswa na chama chake ili asije kunyanyaswa akimaliza muda Wake.
Kwa manti hiyo Ridhiwani alitia ujumbe huo kwa niaba ya baba yake.
Kikwete anapendekeza Mtoto Wa mwinyi au asha rose mmoja Wao awe rais na atakuwa tayari kuficha mapungufu yake.
Lowasa hakubaliki hâta kidogo chadema,asifikirie kabisa kuhamia chadema na kupewa fursa ya kugombea hâta ya uenyekiti Wa kitongoji.[SUB][/SUB]
 
Kwanza ni msahishe mleta mada,lowasa hakustaafu bali alilazimishwa kujiuzulu,Na kingine ni kwamba lowasa ni mtu Wa kulipiza visasi hivyo kikwete atashinikiza lowasa kutoswa na chama chake ili asije kunyanyaswa akimaliza muda Wake.
Kwa manti hiyo Ridhiwani alitia ujumbe huo kwa niaba ya baba yake.
Kikwete anapendekeza Mtoto Wa mwinyi au asha rose mmoja Wao awe rais na atakuwa tayari kuficha mapungufu yake.
Lowasa hakubaliki hâta kidogo chadema,asifikirie kabisa kuhamia chadema na kupewa fursa ya kugombea hâta ya uenyekiti Wa kitongoji.
Mkuu haya ya Lowassa na JK tumeyasikia sana na hatujui ukweli hasa ni Upi lakini hakuna kisichowezekana. Lowassa akihamia CDM ina maana wamempokea, na ZZK akihamia CCM ina maana wamempokea! Mbaya wa upande mmoja hauwezi kuwa mbaya wa upande zote ktk siasa hizi za majitaka. Tunaongozwa na sera sio watu.
 
hizo sera zinaweza kujitekeleza?
 
El hawezi kuhamia cdm ba hafikirii hilo na cdm hawafikirii kumpokea mtu km huyo hata cku moja ila hapa ni kujaribu kukimbiza masaa na mada hii.
 
Mosi, EL ni zaidi ya CDM sasa EL atahamiaje CDM? CDM ndio inaweza ikahamia kwa EL na sio EL kuhamia CDM.

Pili hakuna mtu mwenye akili timamu anayehama kutoka kwenye taasisi kubwa kwenda kwenye kigenge cha wahuni.

chadema hawawezi kumpokea Lowasa.
 
Mosi, EL ni zaidi ya CDM sasa EL atahamiaje CDM? CDM ndio inaweza ikahamia kwa EL na sio EL kuhamia CDM.

Pili hakuna mtu mwenye akili timamu anayehama kutoka kwenye taasisi kubwa kwenda kwenye kigenge cha wahuni.

Matatizo ya kuwa na akili nusu nusu. Ni lini EL amelipa huduma za jamii kama elimu, afya na mengine mengi kama maji na huduma nyingine kwa masikini wa nchi hii? EL ni mbunge na kiongozi kama walivyo watanzania wengine wenye cabre yake! It is only Late Nyerere na Sokoine in Tanzania tunaoweza kupigia mfano kama viongozi bora walioweza kutokea hapa nchi kwa uzalendo wao wa kupenda nchi na wananchi wake. Waliobaki kama ni ranking tunaweza sema ni "Satisfactory".
 
Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.

:cool2:
 
Mbowe aliiba mali za kijiko, hakuiba mali za umma.

Mbowe
alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote
za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu
zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau
mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post
yoyote.

:cool2:
 
Ama kweli mfa maji haishi kutapatapa. Yaani aliyoyafanya EL huyaoni hadi uje kuuliza humu JF?

Matatizo ya kuwa na akili
nusu nusu. Ni lini EL amelipa huduma za jamii kama elimu, afya na
mengine mengi kama maji na huduma nyingine kwa masikini wa nchi hii? EL
ni mbunge na kiongozi kama walivyo watanzania wengine wenye cabre yake!
It is only Late Nyerere na Sokoine in Tanzania tunaoweza kupigia mfano
kama viongozi bora walioweza kutokea hapa nchi kwa uzalendo wao wa
kupenda nchi na wananchi wake. Waliobaki kama ni ranking tunaweza sema
ni "Satisfactory".
 
ccm hawana ubavu wa kumfukuza lowasa.Wakimfukuza huo ndio mwisho wa ccm!
 
Back
Top Bottom