Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Hawezi fukuzwa hata siku moja.sana sana ataachana na siasa uchwara na kuendelea na biashara zake kama vile mshkaji wake RA
 
mwz hatakiw cdm, ccm hawawez kumfukuza wao sheria hamna ila kufahamiana. panya hawez kumfukuza panya
 
Kama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.
 
Chadema hawawezi hata kidogo kumpokea EL. Sumaye kwa haiba yake kwa jamii ya wana mageuzi anaweza pokelewa Chadema.
 
CCM Kamwe hawawezi kumfukuza Lowasa hawana ubavu huo wakijaribu tu ndio utakuwa mwisho wao.
 
Tujadiliane hapa!
Waziri mkuu mtaafu Edward Lowasa akitakuwa kutoka CCM..

Chadema wanaweza kumkataa?

Mbowe na Padri Slaa walishaweka msimamo wazi kuwa safari hii HAWATAPOKEA MAKAPI kutoka CCM
 
Chadema hawawezi kumpokea katu.Labda akagombee uaskofu ktk makanisa alikopeleka rushwa zake.
 
Back
Top Bottom