Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,113
Ndege inabadili gia angani, hujui? Maneno ya JF ni sheria?AKIBA YA MANENO NI MUHIM, ni katika kubadili gear angani
Ndege inabadili gia angani, hujui? Maneno ya JF ni sheria?AKIBA YA MANENO NI MUHIM, ni katika kubadili gear angani
Dahaaaa!!Dah aisee hapa JF kila mtu aheshimiwe bil kujali kama ni mwerevu ama ********.
Kuna watu wanaongea mambo ya ajabu yanayoonekana kama ni upuuzi usiowezekana ila ni ma foreseers....Wanasayansi wa zamani kina Newton, Mendel, Tesla n.k walifanya mambo yaliyowafanya wachekwe na pengine kuzomewa na kizazi chao, kumbe walikuwa foreseer wa karne kibao, na sasa hivi wanatukuzwa na vizazi na wazomeaji wamesahaulika.
Ona huyu mtoa mada, wakati analeta hii post January 2014 hakuna member aliyeamini uwezekano wa hili jambo, ila kwa sasa ndio ukweli wenyewe....kweli idumu JamiiForums.
Mbona hawaonekani wana ukawa au wapo poli wakitafuta tamko la mh raisi wetu ili kupotoshaaaMbowe sio Mtu wa kumuamini ona sasa Leo unaadhirika, Ndugu Ngoyai ndio Bosi wa Bosi wenu
Kuna watu wakiuona huu uzi wanachanganyikiwa hasa yale maandishi yao. Ama kweli Lowassa amewashika pabaya.Mbona hawaonekani wana ukawa au wapo poli wakitafuta tamko la mh raisi wetu ili kupotoshaaa
Wamekuwaa wadogoo zaid ya pritoni. Weka mada ya cuf au kukosoa serikali,, utaona walivyo makin kuzungusha mikono wakionesha mbinu mh EL ambavyo angeendeshaa serikali akiwa chadema kwa uwelediiii,,,, apo ndoutabaini viroba sidiliiiKuna watu wakiuona huu uzi wanachanganyikiwa hasa yale maandishi yao. Ama kweli Lowassa amewashika pabaya.
Dah.....hakika CCM bado wataendelea kutawala kwa muda mrefu sana.Ndege inabadili gia angani, hujui? Maneno ya JF ni sheria?
Mkuu, upo?nani ampokee fisadi?
Mkuu swalama?Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Mwee!CDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?
ben van mike uliona mbali na kweli imekuwa hivyo😀😀hawawezi kumtimua very likely ataamua kutoka mwenyewe kama wasipopitisha jina lake
Mkuu hebu rudi utoe hitimishoLowassa ni mchafu, hapaswi kuingia CHADEMA