Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Kwanini hukuuliza muda ule? Ulisubiri matokeo?
Pole ndugu yangu. Wanasiasa wetu walioko kwenye uongozi wa juu hawaaminiki. Tuliwaamini sana kwamba tuko pamoja kumbe wanatuuza tu. Walituingiza mkenge wengi tu, sio pekeako. Hatupaswi kuwaamini sana hata awe nani.
 
images
 
Mh, kuna watu akili inabidi zipimwe, ongera kkwa kutureshea huu huzi ili waliobado kuwaelewa "vijana makamanda" watawaelewa, japo kwa kiwango fulani
 
Back
Top Bottom