Lowassa hawezi kwenda chama cha wachaga
Inauma sana, Hao wachaga wapo kila mkoa, wilaya, tarafa, kata, kijiji, kitongoji/mtaa hapa Tanzania?
Tujadiliane hapa!
Waziri mkuu mtaafu Edward Lowasa akitakuwa kutoka CCM..
Chadema wanaweza kumkataa?
Akitubu Madhambi yake ya ufisadi na rushwa atapokelewa na kuwa mwanachama wa kawaida ambaye hataruhusiwa kugombea cheo chochote!
Wewe jamaa ulifikiri kwanzaHebu fikiria baba yako amekufukuza harafu ukahamia kwetu, tutakufukuza pia au tutakupa hifadhi?? Ukombozi ni njia ngumu sana na falsafa yake ni wachache tu wanaoweza kuielewa, hatutupi kuni wakati bado tunapika hata kama ni kuni ya mnyaa ambayo ukipikia macho yanawasha, fikiria zaidi utajua itakuwaje.
Hivi alishakutafuta huyu jamaa?Weka kumbukumbu ya kauli yangu tutakumbushana 2015!.
Pasco
Duuu Mingoi tema mate chini.Lowassa hawezi kwenda chama cha wachaga
Em pitia koment za watu uone walivokula matapshi yao
Duuuh huuu jamaa alitabiri.kweli kweli
Wapiga dili Chadema hata Lugumi watampokea tu
Wewe jamaa ulifikiri kwanza
Dah aisee hapa JF kila mtu aheshimiwe bil kujali kama ni mwerevu ama mpumbavu.Huyu jamaa alieanzisha huu UZI APEWE U EXPERT duuh!!..
CDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?
Subiri uchaguzi mwingine, utazionaBaada ya uchaguzi mkuu sijui hizi IDs zilipotelea wapi.
Mbowe ni ndumilakuwili.Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.
:cool2:
Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco