Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Kama maamuzi gani?
Maamuzi ya kuitumbukiza nchi katika mkataba wa KIIFISADI wa RICHMOND (Richard wa Monduli);
ambao ulikuwa Deal lao pamoja na Rostam na na JK.
Au uli wa mvua ya kutengeneza ambao nao ulikuwa deal lake watu wakamshitukia? Huyu hawezi kusafishika tena kwa UFISADI alioufanyia nchi hii.

PDIDY

Lowasa NI MTU WAAMAAMUZ. MAGUMU

KAMA UAMUZI WA ZITO KUHUSU RUZUKU WANAUMIA KIChwa

LOWASA ANA MAAm
Uzi magumu zaidi ya hay a
 
Mi naona zitto na Lowasa waanzishe chama chao!!
 
Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
 
na akihamia itakuwaje mkuu? utahama chama?
 
Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
 
Chadema ni zoa zoa wanabeba kila mwanachama hata kama ni mchafu kiasi gani ndani ya jamii mwangalie mtu kama sugu na afande sele mpaka anavua nguomjukwaani lakini ndiyo wanaopendwa na wenye chama.
 
kama imani iko hivyo
(hakuna ccm bila lowasa) kwanini sasa tusiamini kuwa hakuna CDM bila
Zitto?

Kama hoja ni hyo, kwann wasianzishe chama chao. Afu tuone kipi kitaanza kufa!
 
Last edited by a moderator:
Chadema ni zoa zoa wanabeba kila mwanachama hata kama ni mchafu kiasi gani ndani ya jamii mwangalie mtu kama sugu na afande sele mpaka anavua nguomjukwaani lakini ndiyo wanaopendwa na wenye chama.
Wewe na familia yako hamtaweza kutoa mchango hata 1/500 ya mchango wa Sugu. Afande sele mdharau na Rasta zake, hata Nyerere alimdharau Bob Marley, lakini baadae alimfata na kumpongeza. Sele ni msanii anayekubalika.
 
Wewe kaa bavicha hapo na utumike kwenye mandamano basi mengine tuachie wanaume huna unachojua ni sawa na gari ambayo haina breki unaporomoka tu.
 
Akifukuzwa azunguke aeleze namna ilivyoshiriki kuhujumu nchi kwenye richmond na EPA, halafu baada ya hayo astaafu siasa tu akafuge mifugo yake Monduli..
 
Wewe kaa bavicha hapo na utumike kwenye mandamano basi mengine tuachie wanaume huna unachojua ni sawa na gari ambayo haina breki unaporomoka tu.
Nadhani hoja hii haikuhusu, so you have the right to remain silent.
 
Kama katiba mpya itakamilika mapema atagombea akiwa mgombea binafsi. Pesa ya kampeni anayo itatosha
 
Lowasa si mwizi ila ni mbinafsi sana,ukiongelea deal ya RICHMOND/DOWANS/SYMBION,EL alishasema muhusika mkuu ni presdaa mwenyewe sasa hata kama EL anachukiwa basi atafutiwe kitu sahihi cha kuchukiwa huko lakini si haya matakataka ya mkulu hya ya umeme.Atawadundisha chini kirahisi sana kama anaandamwa kwa haya,Mwakyembe mwenyewe limemshuka kwa huyu mndundu wa kimasai,na akihamia CDM watamkubali tu au mumesahau busara ya Mbowe yule dogo Milya alipokuwa anahamia CDM,alisema nanukuu japo si neno kwa neno "vyama vya siasa ni kama vyombo vya usafiri yeyote anaweza hamia kwenye chochote ili kutimiza malengo yake ya kisiasa".Na kwa mkorogano huu jamaa akihamia CDM uchaguzi uitishwe hata kesho CCM wataangukia pua na kuinuka haitokaa itokee kamwe.Sasa kwa sababu CCM uhai wake umeshikiliwa namatumizi mabaya ya vyombo vya dola na nguvu za fedha na unapokuja kwenye hilo la pili EL anazo za kutosha na kubaki.Matumizi ya vyombo vya dola huwa yanafeli mbele ya mikakati na mbinu bora na kwenye hili nalo EL yupo vizuri.CCM wakimtimua EL watakuwa wamejikalisha wenyewe chini ya mretemu.Naliona silioni hilo.
 
Back
Top Bottom