Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 949
- 1,196
Lakini hakuwa raisWeka kumbukumbu ya kauli yangu tutakumbushana 2015!.
Pasco
Lakini hakuwa raisWeka kumbukumbu ya kauli yangu tutakumbushana 2015!.
Pasco
Sentensi za mwisho hizoKwanza ni msahishe mleta mada,lowasa hakustaafu bali alilazimishwa kujiuzulu,Na kingine ni kwamba lowasa ni mtu Wa kulipiza visasi hivyo kikwete atashinikiza lowasa kutoswa na chama chake ili asije kunyanyaswa akimaliza muda Wake.
Kwa manti hiyo Ridhiwani alitia ujumbe huo kwa niaba ya baba yake.
Kikwete anapendekeza Mtoto Wa mwinyi au asha rose mmoja Wao awe rais na atakuwa tayari kuficha mapungufu yake.
Lowasa hakubaliki hâta kidogo chadema,asifikirie kabisa kuhamia chadema na kupewa fursa ya kugombea hâta ya uenyekiti Wa kitongoji.[SUB][/SUB]
[emoji23] [emoji23]Mosi, EL ni zaidi ya CDM sasa EL atahamiaje CDM? CDM ndio inaweza ikahamia kwa EL na sio EL kuhamia CDM.
Pili hakuna mtu mwenye akili timamu anayehama kutoka kwenye taasisi kubwa kwenda kwenye kigenge cha wahuni.
Na uka bold kabisaMbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.
:cool2:
Hata wa Ccm alimjuaPasco sio Mtu wa Mchezo mchezo! Alimjua Mgombea Urais wa Chadema 2015 kabla ya Mwenye Chama Freeman Mbowe!
Okonkwo,alimtwanga kwenye Mieleka!Mgongo Wake Haukuwahi Kugusa Ardhi,ila kwa Okonkwo uligusa!Amalinze the Cat
Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
jibu ni hapana
yarudieni hayo maneno tena.nani ampokee fisadi?
Wewe ulivujishiwa 'pepa' nini?hawawezi kumtimua very likely ataamua kutoka mwenyewe kama wasipopitisha jina lake
Hata pasco alibadili gia baada ya mgombea kutoka kanda ya ziwa nyumbani.Japo alimtabiri Edo.Lakini hakuwa rais
The greatest wrestler from umoufia to mbaino,unbeaten for seven years,his back would never touch the earth.Amalinze the Cat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nani ampokee fisadi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hakuna ccm bila lowasa na hitakuja kuwa ccm bila lowasa milele.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaa huu uzi ni mtamu sana, wacha ni subscribe ntausoma taratibuAcha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na uka bold kabisa
Hebu fikiria upya. Nadhani wakati unatoa jibu hukuwajua vizuri chadema na tamaa zao za kimaslahi.Hawezi kupokelewa labda sumaye
Mh!!!nani ampokee fisadi?
Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
Safi sana, kwa hiyo mnakiri chadema sio chama makini na ni chama cha mburula kama mnavyosema?Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Uliwaza mbali sanaTujadiliane hapa!
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa akitakiwa kutoka CCM, Chadema wanaweza kumkataa?