Hawezi fukuzwa hata siku moja.sana sana ataachana na siasa uchwara na kuendelea na biashara zake kama vile mshkaji wake RA
Kwenye Siasa hakuna permanent enermy or friend... Nakuunga Mkono Pasco 100% ... E.L ni mtaji wa kisiasa yeyote anaweza kuutumia... Chadema wasiwe rigid... wajifunze siasa kutoka kenyaKwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
Wewe unapingana na Mbowe alomkaribisha Sumaye au hata hiyo taarifa hauna?CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.
Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
Nao waona watagombea urais toka CCM ni ASHA ROSE MIGILO
EDWARD NGOYAYE LOWASA
BERNAD MEMBE
SAMWEL SITTA
LAKIN KETE KUBWA IPO KWA E.L. NA CCM WAKIMWACHA HUYU JAMAA ATAKISAMBARATISHA CHAMA MAANA KWANZA AMEWEKEZA SANA NA ANAMATARAJIO MAKUBWA SANA MPAKA ANAKWENDA KUTABIRIWA KWA T.B.JOSHUA UNADHAN NI KIASI GANI AMEDHAMILIA?.
LAKIN PIA SAMWEL SITTA NI MZURI SANA NA HATA KUBALI KUONA E.L ANAINGIA IKULU SASA NI WAKATI WA CCM KUTUMIA AKILI KUTOWASIMAMISHA HAO WOTE LABDA ROSE MIGIRO PEKEE KWA KUIPA KIPAUMBELE JINSIA.
Tujadiliane hapa!
Waziri mkuu mtaafu Edward Lowasa akitakuwa kutoka CCM..
Chadema wanaweza kumkataa?
Tujadiliane hapa!
Waziri mkuu mtaafu Edward Lowasa akitakuwa kutoka CCM..
Chadema wanaweza kumkataa?
Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, rekebisha kauli. Ni waziri mkuu aliyeshindwa majukumu....
Jamani huyo ndio rais wa 2015.elimu bure maji bure .
Punguza jaziba mkuu!Acha mifano ya ajabu basi, EL ni wakufukuzwa ama wa kufukuza? Zile kura za Marohani alizomkosa kosa nazo M/kiti bado haikuwa somo?...
Kwa utafiti wako mdogo utafikiri ni kwa nini EL anapigana kufa na kupona ili apate uraisi wa nchi hii. Ni nini hasa kinamsukuma? What is driving him that much big time. Watz tuache ushabiki wa maswala muhimu kama nafasi wa uraisi. Lazima tuwachunguze sana sio kwa ubaya bali kwa kutaka kujua kwa dhati kama watu hawa wanayajua matatizo yanayolikumba taifa letu. Watz lazima wawaepuke viongozi ambao wanatafuta uraisi kwa lengo la kutimiza ndoto zao. Hawa hawatufai, tz kwa sasa inahitaji viongozi watumishi wa wananchi wanaotaka kutimiza ndoto za watz na sio ndoto za watawala kama kuota kutandikiwa mazuria mekundu, kupigiwa mizinga, misururu ya ma pikipiki na magari! Binafsi mijadala ingekuwa kujadili sifa kuu za raisi ajaye baada ya Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kumaliza muda wake. Hawa wote wanaozunguka makanisani, misikitini na kwenye makundi mbalimbali huku wakimwaga mapesa tunajua fika wamekuwapo serikalini na kwenye chama tawala muda wote na matatizo tuliyonayo sasa hivi wanaweza kwa njia moja au nyingine wameshiriki kuyafanya yawepo au wamesababisha hii hali ngumu inayowatesa watz masikini mijini na vijijini.
CCM ni taasisi, hakuna mtu maarufu kuliko hiyo taasisi