Umkilo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 470
- 421
Hivi ulipiga kura?Chadema Wakimpokea Lowassa sipigi kura kabisa.
Hivi ulipiga kura?Chadema Wakimpokea Lowassa sipigi kura kabisa.
Nacheka sana nikipitia uzi huu... Tuna imaaaaaani na lowasaaaaaaaa eyaaaaaaa eyaaaaaaaUmefikiri sana kitu ambacho hakipo wala hakiwezekani!!!
EtiCHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.
Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
Alipokwenda chama cha wachaga kwa ulafi wako nawe ukamfuata hukohuko.Lowassa hawezi kwenda chama cha wachaga
Yeye mbona amestaafu lakini bado anataka kulamba asaliAlipokwenda chama cha wachaga kwa ulafi wako nawe ukamfuata hukohuko.
Nyinyi ndio Makamba aliwaita kupe, ng'ombe amekufa lakini bado mmeganda tu mnanyonya damu.