sumuantidote
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 218
- 125
Halafu ikawaje??hii siyo sahihi, walisema hawatapokea maccm watakaotemwa katika kura za maoni, wanaotaka wajoin mapema; lakini siyo type ya Lowassa
Halafu ikawaje??hii siyo sahihi, walisema hawatapokea maccm watakaotemwa katika kura za maoni, wanaotaka wajoin mapema; lakini siyo type ya Lowassa
Hivi ile List of Shame ya Mwembeyanga bado ipo au edited tayari??
Kakakuona in action..Kwa wale mlikuwa hajui, huyu ndie mgombea wa Chadema 2015 na ndie rais 2015 Chadema itakapochukua nchi na pia litimie lile neno rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini haswa kwa kuzingatia, ukimuondoa ZZK, Chadema haina any other candidates wanaoweza kuwapatia ushindi kwenye urais!.
Tena hata mimi nitaingia rasmi kwenye siasa kwa kujiunga rasmi Chadema na kuna jimbo nitalichukua kama nimeliokota!, mgombea wa CCM nitampiga chini kama kumsukuma mlevi!.
Pasco
Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Ikawaje??Hatuwezi kumpokea CHADEMA kamwe.
Very painful kusalitiwa na uliowaamini...Kwanza ni msahishe mleta mada,lowasa hakustaafu bali alilazimishwa kujiuzulu,Na kingine ni kwamba lowasa ni mtu Wa kulipiza visasi hivyo kikwete atashinikiza lowasa kutoswa na chama chake ili asije kunyanyaswa akimaliza muda Wake.
Kwa manti hiyo Ridhiwani alitia ujumbe huo kwa niaba ya baba yake.
Kikwete anapendekeza Mtoto Wa mwinyi au asha rose mmoja Wao awe rais na atakuwa tayari kuficha mapungufu yake.
Lowasa hakubaliki hâta kidogo chadema,asifikirie kabisa kuhamia chadema na kupewa fursa ya kugombea hâta ya uenyekiti Wa kitongoji.[SUB][/SUB]
Njoo usome ulichoandikaCHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.
Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
Ila anauwezo wa kununua kigenge cha wahuni na kukifanya chake..Mosi, EL ni zaidi ya CDM sasa EL atahamiaje CDM? CDM ndio inaweza ikahamia kwa EL na sio EL kuhamia CDM.
Pili hakuna mtu mwenye akili timamu anayehama kutoka kwenye taasisi kubwa kwenda kwenye kigenge cha wahuni.
Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
Bahati mbaya ikawa otherwise..ACT ndo kimbilio la wahamiaji
Yupo chadema sasaNilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Do u still trust maneno ya DJ Mwenyekiti??Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.
:cool2:
CDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?
Alipewa nafasi ya Kugombea Urais ChademaCDM yeye mwenyewe anajua hawezi kupewa hata kazi ya ufagizi wa ofisi.
je huko ccm kuna mwenye ubavu wa kumfukuza?
Wewe uliona mbalihawawezi kumtimua very likely ataamua kutoka mwenyewe kama wasipopitisha jina lake
Nakusifu aisee.. u said it very poetically and matured..Hebu fikiria baba yako amekufukuza harafu ukahamia kwetu, tutakufukuza pia au tutakupa hifadhi?? Ukombozi ni njia ngumu sana na falsafa yake ni wachache tu wanaoweza kuielewa, hatutupi kuni wakati bado tunapika hata kama ni kuni ya mnyaa ambayo ukipikia macho yanawasha, fikiria zaidi utajua itakuwaje.
Mbona CCM ipoKama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.
Hata sijui ikawaje... nadhani aliogeshwa na DJ Mwenyekiti...[emoji57] [emoji57] [emoji57]Lowassa ni mchafu, hapaswi kuingia CHADEMA