Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,706
- 3,112
Clouds na Millard wanamsubiri kumpa coverage na tour.Ashakuwa 'celebrity'
Kwamba hakuna haja ya kutibu watu ulaya, hospitali zetu zina vifaa vyote.Huyo mgonjwa si inabidi awe kwenye kantini siku si chini ya 14 inakuaje aseme kapona ndani ya siku 2 na waziri kabisa bila aibu anatwanga simu na kuweka public ...
Haki ya Mungu hii nchi siasa inatumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeClouds na Millard wanamsubiri kumpa coverage na tour.
Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
Dah!..Na kaingia kwenye historia. Akiwa mjanja aitumie hiyoo fursa kupiga hela, awe muhamasishaji wa kujikinga,kuzuia, na kupambana na Corona, ata vuna hela, na lazima ajute kwanini hakupata corona mda mrefu.