Anaitwa Isabella Mwaipamba ni mwongoza watalii lakini pia anamiliki shule ya watoto wadogo (preschool)kwasasa anaandaa mbio nyepesi kupanda mlima Meru nimekutana naye ikabidi niwape salamu zake.
Kafanana na baba yake mkubwa
Mrisho mpotoKafanana na baba yake mkubwa
Mama aliyetuletea mikosi
Tumemsikia Waziri Ummy Mwalimu akiwasiliana na mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona akiwa Arusha leo.
Hapa maadili na sheria za kitabibu zinaruhusu haya.
Au amefanya hivyo kama kutapatapa kwa branda alizozifanya mpaka leo mamilioni ya wanafunzi na watoto wetu wanahangaika.
Pia naona ni kama kuhatarisha maisha ya huyu mgonjwa . hatuoni kwamba watu wanaweza kumfikiria vibaya, kwa maneno na hata kwa vitendo?
Nina wasiwasi sana na kwamba huyu mgonjwa kama hata pata shida ya kisaikolojia kwa lawama na manung'uniko kutoka kwa watu.
Nasema hivyo kwa maana tumeishaona post nyingi zikianza polepole kuattack personality ya huyu mgonjwa wa Arusha.
Mgonjwa na ugonjwa anaougua ni sir ya mgonjwa na daktari wake.