Mwinyi amefariki bila kuomba msamaha Wamasai kwa kuuza ardhi yao kwa Waarabu. Familia yake iombe msamaha na Waarabu wafukuzwe Loliondo

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,987
8,362
Hakika inasikitisha kuanzia miaka ya 90 mpaka leo eneo la Loliondo lipo chini ya milki ya falme za kiarabu.

Waliuziwa na Rais mwinyi wakati huo mpaka leo wamasai wanaishi km wakimbizi kwenye nchi yao.

Ukiacha madoa mengi ya mwingi kwenye utawala wake km kuua viwanda na kuwazawadia viwanda marafiki zake kina bakheresa,dewji na wengine.

Hili la kuuza ardhi ya Tanzania kwa waarabu ni kashfa mbaya sana litaiandama familia yake na kuzazi chake.

Unapofika loliondo ni km umeingia nje ya nchi kile kitu kinaendeshwa kutoka uarabuni.

Magufuli kwa kujua kuwa ardhi ya Tanzania iliporwa na Waarabu kupitia Mwinyi. Alianza mchakato wa ndani kupitia mikataba hii ya ulaghai, mwarabu alipogundua yupo hatarini kufukuzwa loliondo akawa anapigia simu marafiki zake wanasiasa kulia lia na ikawa bahati kwake magufuli alipofariki

Nyerere kupitia vitabu vyake mbalimbali aliomba radhi watanzania pale alipojikwaa.

Rais mkapa kwenye kitabu chake aliomba radhi alipojikwaa.

Magufuli kwenye siku zake za mwisho akiwa kwenye kutubio aliomba radhi kwa watanzania kwa alipojikwaa.

Ila Mzee mwinyi ametuacha bila kuomba radhi hasa hii kashifa ya Loliondo.

Sisi km watanganyika na baadae watanzania tunaomba familia yake iombe radhi na wale waarabu wafukuzwe kutoka kwenye urithi wa aridhi yetu kabla mzee mwinyi hajazikwa.
 
Tusiache rasilimali za nchi ziende halafu tusubirie kuombwa msamaha na waliosababisha siku za mwisho za uhai wao.

Tupambane, bandari zisiende kupitia ile IGA haramu. IGA ile mbaya IFUTWE, italeta shida kubwa mbeleni.
 
Hakika inasikitisha kuanzia miaka ya 90 mpaka leo eneo la Loliondo lipo chini ya milki ya falme za kiarabu

Waliuziwa na Rais mwinyi wakati huo mpaka leo wamasai wanaishi km wakimbizi kwenye nchi yao

Ukiacha madoa mengi ya mwingi kwenye utawala wake km kuua viwanda na kuwazawadia viwanda marafiki zake kina bakheresa,dewji na wengine

Hili la kuuza ardhi ya Tanzania kwa waarabu ni kashfa mbaya sana litaiandama familia yake na kuzazi chake

Unapofika loliondo ni km umeingia nje ya nchi kile kitu kinaendeshwa kutoka uarabuni

Magufuli kwa kujua kuwa ardhi ya Tanzania iliporwa na waarabu kupitia Mwinyi
Alianza mchakato wa ndani kupitia mikataba hii ya ulaghai, mwarabu alipogundua yupo hatarini kufukuzwa loliondo akawa anapigia simu marafiki zake wanasiasa kulia lia na ikawa bahati kwake magufuli alipofariki


Nyerere kupitia vitabu vyake mbalimbali aliomba radhi watanzania pale alipojikwaa

Rais mkapa kwenye kitabu chake aliomba radhi alipojikwaa

Magufuli kwenye siku zake za mwisho akiwa kwenye kutubio aliomba radhi kwa watanzania kwa alipojikwaa

Ila Mzee mwinyi ametuacha bila kuomba radhi hasa hii kashifa ya loliondo

Sisi km watanganyika na baadae watanzania tunaomba familia yake iombe radhi na wale waarabu wafukuzwe kutoka kwenye urithi wa aridhi yetu kabla mzee mwinyi hajazikwa
🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom