Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,103
- 37,627
Ndo huyo kwenye picha?View attachment 1391737
Tusimhukumu sana Isabella .
Sio mtu wa njaa njaa. Wenye njaa hata passport mpya hawanaNa kaingia kwenye historia. Akiwa mjanja aitumie hiyoo fursa kupiga hela, awe muhamasishaji wa kujikinga,kuzuia, na kupambana na Corona, ata vuna hela, na lazima ajute kwanini hakupata corona mda mrefu.
Huyu ni dada wa kingoniAna ka Undugu na Mwisho Mwampamba?
Nilikutana mahala fulani mwezi January
Akatoka Dr ShikaAshakuwa 'celebrity'
Duh nchi yanguAkatoka Dr Shika
akaja Mlevi wa Tz
akaja Bongo Zozo
Sasa Hivi Isabella
Ni vituko mpaka ugonjwa ambao ni tishio sasa hiviDuh nchi yangu
Unaweza kusema ni mchongo flan umechorwa.Any way huyu mama amepata virus kweli lakini kuna mazingira flan amejaribu kugeuza hiyo kama fursa na anakaribia kufanikiwa
Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.